Ekuador
| |||||
Kaulimbiu ya taifa: Kihispania: "Dios, patria y libertad" ("Mungu, taifa na uhuru") | |||||
Wimbo wa taifa: Salve, Oh Patria (usalimiwe e taifa) | |||||
Mji mkuu | Quito | ||||
Mji mkubwa nchini | Guayaquil | ||||
Lugha rasmi | Kihispania | ||||
Serikali | Jamhuri Daniel Noboa | ||||
Uhuru Kutoka Hispania kutoka Gran Colombia |
24 Mei 1822 13 Mei 1830 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
283,560 km² (ya 75) 5 | ||||
Idadi ya watu - 2023 kadirio - 2022 sensa - Msongamano wa watu |
17,483,326[2] (ya 73) 16,938,986[1] 69/km² (ya 148) | ||||
Fedha | U.S. dollar (USD )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC-5; UTC -6 (Galápagos Islands)) (UTC) | ||||
Intaneti TLD | .ec | ||||
Kodi ya simu | +593
- |
Ekuador (kwa Kiswahili pia: Ekwado) ni nchi kwenye pwani ya magharibi ya Amerika Kusini.
Jina la nchi kwa Kihispania (Ecuador) lamaanisha "ikweta", na sababu ni kwamba imekatwa nayo.
Imepakana na Kolombia, Peru na Bahari ya Pasifiki.
Funguvisiwa la Galapagos (Archipiélago de Colón) ni sehemu ya Ekuador ikiwa na umbali wa karibu kilomita 1,000 kutoka bara.
Mji mkuu ni Quito, lakini mji mkubwa zaidi ni Guayaquil.
Watu
[hariri | hariri chanzo]Wananchi wengi (71%) wana mchanganyiko wa damu ya Kizungu na ya Kiindio. Wenye asili ya Afrika ni 7.2%, Waindio ni 7%, na Wazungu ni 6.1%.
Ekuador ilikuwa koloni la Hispania, hivyo lugha ya wakazi wengi na lugha rasmi imekuwa Kihispania hadi leo. Lakini kuna Waindio wengi, hasa katika milima ya Andes, wanaoendelea kutumia lugha zao.
Asilimia 91.95 wana dini, na kati yao 80.44% ni Wakatoliki ma 11.3% Waprotestanti.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- (Kihispania) Rais wa Ekuador tovuti rasmi Ilihifadhiwa 6 Mei 2008 kwenye Wayback Machine.
Nchi na maeneo ya Amerika Kusini |
Argentina | Bolivia | Brazil | Chile | Ekuador | Guyana | Guyani ya Kifaransa | Kolombia | Paraguay | Peru | Surinam | Uruguay | Venezuela |
Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika Kusini bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ekuador kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
- ↑ "Inicio". www.ecuadorencifras.gob.ec.
- ↑ "Ecuador". The World Factbook (kwa Kiingereza) (tol. la 2025). Shirika la Ujasusi la Marekani. Iliwekwa mnamo 22 Juni 2023.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) (Archived 2023 edition)