1830
Mandhari
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 18 |
Karne ya 19
| Karne ya 20
| ►
◄ |
Miaka ya 1800 |
Miaka ya 1810 |
Miaka ya 1820 |
Miaka ya 1830
| Miaka ya 1840
| Miaka ya 1850
| Miaka ya 1860
| ►
◄◄ |
◄ |
1826 |
1827 |
1828 |
1829 |
1830
| 1831
| 1832
| 1833
| 1834
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1830 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- Omani/Zanzibar: Sultani Sayyid Said anahamisha mji mkuu wake kutoka Omani kuja Zanzibar. Anavutwa na ardhi yenye rutba na upatikanaji wa kazi ya watumwa akianzisha kilimo cha karafuu.
- Marekani: Kitabu cha Mormoni chatolewa na Joseph Smith, Mdogo anayedai kuwa alitafsiri kitabu kutoka kwa mabamba ya dhahabu aliyopewa na malaika wa Mungu.
- 14 Juni Sidi-Ferruch (Algeria): Vikosi vya jeshi la Ufaransa vinatelemka mwambaoni wa Algeria. Ukoloni wa Ufaransa unaanza.
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]Kalenda ya Gregori | 2024 MMXXIV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5784 – 5785 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2777 |
Kalenda ya Ethiopia | 2016 – 2017 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1473 ԹՎ ՌՆՀԳ |
Kalenda ya Kiislamu | 1446 – 1447 |
Kalenda ya Kiajemi | 1402 – 1403 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2079 – 2080 |
- Shaka Samvat | 1946 – 1947 |
- Kali Yuga | 5125 – 5126 |
Kalenda ya Kichina | 4720 – 4721 癸卯 – 甲辰 |
- 9 au 18 Februari - Abdulaziz I, Sultani wa Milki ya Osmani (1861-1876)
- 15 Machi - Paul Heyse (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1910)
- 8 Septemba - Frederic Mistral (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1904)
- 17 Desemba - Simon Bolivar, mwanasiasa na mwanajeshi katika Amerika ya Kusini aliyeongoza mapambano dhidi ya ukoloni wa Hispania, katika mji wa Santa Marta (Kolombia)
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 4 Juni - Antonio José de Sucre, Rais wa Peru (1823) na Rais wa Bolivia (1825-28), aliuawa
- 30 Novemba - Papa Pius VIII
Wikimedia Commons ina media kuhusu: