Mkoa wa Mardin
Mandhari
Mkoa wa Mardin | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Mardin nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Kusinimashariki ya Anatolia |
Eneo: | 8,891 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 745 778 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 47 |
Kodi ya eneo: | 0482 |
Tovuti ya Gavana | http://www.mardin.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/mardin |
Mkoa wa Mardin (Kisyria: ܡܶܪܕܺܝܢ "Merdin" kwa kuhusina na lugha ya Kisemiti Kiarabu: ماردين , Mardīn au "Merdin" ) ni jina la mkoa uliopo nchini Uturuki, wenye wakazi takriban 745 778.[1] Awali idadi ya wakazi ilikuwa 835,173 kunako mwaka wa 2000[2].
Wilaya za mkoani hapa
[hariri | hariri chanzo]Mkoa wa Mardin umegawanyika katika wilaya 10 (mji mkuu 'umekoozeshwa):
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Turkish Statistical Institute (2007). "2007 Census, population by provinces and districts". Turkish Statistical Institute. Iliwekwa mnamo 2007-12-26.
- ↑ "Population of Mardin province". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2006-01-04. Iliwekwa mnamo 2009-09-05.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Mardin Weather Forecast Information Ilihifadhiwa 6 Januari 2008 kwenye Wayback Machine.
- Pictures of the capital of this province
- Articles about the Syriacs and photos of Midyat
- Mardin photos Ilihifadhiwa 19 Aprili 2006 kwenye Wayback Machine.
- Tourism information is available in English at the Southeastern Anatolian Promotion Project site. Ilihifadhiwa 21 Machi 2009 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Mardin kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |