Mkoa wa Gaziantep
Mandhari
Mkoa wa Gaziantep | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Gaziantep nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Kusinimashariki ya Anatolia |
Eneo: | 6,000 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 1,426,816 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 27 |
Kodi ya eneo: | 0342 |
Tovuti ya Gavana | http://www.gaziantep.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/gaziantep |
Gaziantep ni jina la mkoa uliopo mjini kusini-kati mwa nchi ya Uturuki. Mji mkuu wake ni jiji la Gaziantep ambalo lina idadi ya wakazi 853,513 kwa sensa ya mwaka wa 2000. Mikoa ya jirani na mkoa huu ni pamoja na Adıyaman kwa upande wa kaskazini, Şanlıurfa kwa upande wa mashariki, Syria na Kilis upande wa kusini, Hatay kwa upande wa kusini-magharibi, Osmaniye kwa kupande wa magharibi na Kahramanmaraş kwa upande wa kaskazini-magharibi mwa nchi.
Wilaya za mkoani hapa
[hariri | hariri chanzo]Mkoa wa Gaziantep umegawanyika katika wilaya 9 (mji mkuu umekoozeshwa):
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Pictures of Gaziantep Archived 21 Mei 2011 at the Wayback Machine.
- Pictures of the capital of this province
- Pictures of Gaziantep Archived 14 Mei 2011 at the Wayback Machine.
- Gaziantep Weather Forecast Information Archived 16 Februari 2009 at the Wayback Machine.
- Gaziantep newspaper
- Local politics
- All about cultural activities in Gaziantep
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Gaziantep kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |