Majina ya Yesu katika Agano Jipya
Mandhari
Majina ya Yesu katika Agano Jipya ni namna mbalimbali za kumuita kwa heshima na katika jitihada za kuweka wazi yeye ni nani kweli, tena ni nani kwetu sisi binadamu.[1][2][3][4][5]
Pamoja na jina Yesu alilopewa alipotahiriwa siku ya nane baada ya kuzaliwa[6][7][4][8][9] na Kristo,[10] [11][12][13] katika Agano Jipya anaitwa kwa namna nyingine 196[14]kama vile:
- Emanueli
- Bwana
- Neno
- Mwana wa Mungu
- Mwana wa Adamu
- Mwana wa Daudi
- Mwanakondoo wa Mungu
- Adamu mpya
- Mwanga wa ulimwengu
- Mfalme wa Wayahudi
- Mwalimu
- Mwokozi
- Mkate wa uzima
- Mjumbe wa Agano Jipya
- Kuhani mkuu
- Nabii
- Mfariji (au Mtetezi au Msimamizi)
- Alfa na Omega
- Nyota ya asubuhi
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Names and Titles of the Lord Jesus Christya. by Charles Spear 2003 ISBN 0-7661-7467-0 pages ix-x
- ↑ Bible explorer's guide by John Phillips 2002 ISBN 0-8254-3483-1 page 147
- ↑ All the Doctrines of the Bible by Herbert Lockyer 1988 ISBN 0-310-28051-6 page 159
- ↑ 4.0 4.1 Theology of the New Testament by Georg Strecker, Friedrich Wilhelm Horn 2000 ISBN 0-664-22336-2 page 89
- ↑ The Titles of Jesus in Christology: Their History in Early Christianity by Ferdinand Hahn, Harold Knight, George Ogg 2002 ISBN 0-227-17085-7 pages 11-12
- ↑ Outlines of dogmatic theology, Volume 2 by Sylvester Hunter 2010 ISBN 1-146-98633-5 page 443
- ↑ Jesus: the complete guide by Leslie Houlden 2006 ISBN 0-8264-8011-X page 426
- ↑ Spiritual theology by Jordan Aumann 1980 ISBN 0-7220-8518-4 page 411
- ↑ The Gospel of Matthew by Rudolf Schnackenburg 2002 ISBN 0-8028-4438-3 page 9
- ↑ Blue Letter Bible, G5547 Archived 2012-12-20 at Archive.today
- ↑ Jesus God and Man by Wolfhart Pannenberg 1968 ISBN 0-664-24468-8 pages 30-31
- ↑ Merriam-Webster's Encyclopedia of World Religions by Wendy Doniger 2000 ISBN 0-87779-044-2 page 212
- ↑ Theology of the New Testament by Rudolf Karl Bultmann 2007 ISBN 1-932792-93-7 page 80
- ↑ A Complete Concordance to the Holy Scriptures of the Old and New Testament: or a Dictionary and Alphabetical Index to the Bible (commonly called Cruden's Concordance), Alexander Cruden MA, 1737 (first edition), and successive editions (publishers vary). ISBN varies, but, for example, ISBN 0-917006-31-3 for the edition published 1984 by Hendrickson Publishers, Massachusetts, USA.
Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Majina ya Yesu katika Agano Jipya kama habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |