Nane
Mandhari
Nane ni namba ambayo inafuata saba na kutangulia tisa. Kwa kawaida inaandikwa 8 lakini VIII kwa namba za Kiroma na ۸ kwa zile za Kiarabu.
Vigawo vyake vya namba tasa ni: 2 x 2 x 2 (au 23).
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Wells, D. The Penguin Dictionary of Curious and Interesting Numbers London: Penguin Group (1987): 70–71
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- The Octonions, John C. Baez
Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nane kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |