Go-Yozei
Mandhari
Go-Yozei (31 Desemba 1572 – 25 Septemba 1617) alikuwa mfalme mkuu wa 107 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Kazuhito. Tarehe 17 Desemba 1586 alimfuata babu yake, Ogimachi, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu tarehe 9 Mei 1611. Aliyemfuata ni mwana wake, Go-Mizunoo.
Angalia pia
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Go-Yozei kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |