Nenda kwa yaliyomo

Denisi wa Milano

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Masalia yake katika kanisa kuu la Milano.

Denisi wa Milano (alifariki Kapadokia, leo nchini Uturuki, 360 hivi) alikuwa Askofu wa 9 au wa 10 wa Milano, Italia Kaskazini katikati ya karne ya 4 (349-355 hivi)[1].

Alimtetea Atanasi wa Aleksandria kwa kulinda imani sahihi dhidi ya Waario na kwa sababu hiyo kaisari Constantius II alimpeleka uhamishoni alipofariki[2] [3] [4] [5].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 25 Mei[6][7].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/92380
  2. Cazzani, Eugenio (1996). Vescovi e arcivescovi di Milano. Milano: Massimo. ku. 16–17. ISBN 88-7030-891-X.(Kiitalia)
  3. Ruggeri, Fausto (1991). I Vescovi di Milano. Milano: NED. uk. 10–11. ISBN 88-7023-154-2.(Kiitalia)
  4. Tolfo, Maria Grazia. "San Dionigi". Storia di Milano. Iliwekwa mnamo 10 Oktoba 2011.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)(Kiitalia)
  5. Pasini, Cesare (1988). "Dionigi, santo (sec. IV)". Dizionario della Chiesa Ambrosiana. 2. Milano: NED. p. 1054–1055. ISBN 88-7023-102-X .(Kiitalia)
  6. Martyrologium Romanum
  7. Great Synaxaristes: Ὁ Ἅγιος Διονύσιος Ἐπίσκοπος Μιλάνου. 25 Μαΐου. ΜΕΓΑΣ ΣΥΝΑΞΑΡΙΣΤΗΣ.(Kigiriki)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.