Nenda kwa yaliyomo

Altiplano

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Altiplano ya Bolivia kwenye kimo cha mita 4,000. Nyuma yake milima ya Cordillera Real
Mji wa Puno katika Peru iko kando la Ziwa Titicaca

Altiplano (Kihispania: tambarare ya juu) ni jina la nyanda za juu katika milima ya Andes ya Peru na Bolivia.

Ni tambarare kati ya safu za milima za "Cordillera Oriental" (safu ya mashariki) na "Cordillera Occidental" (safu ya magharibi). Altiplano iko kwenye kimo cha takriban mita 3,600 hadi 4,000 juu ya UB. Eneo lake ni 170,000 km².

Tambarare hii haina mito inatoka nje kwenda bahari. Maji yote yabakai hapa na kupotea tena kwa njia ya usimbishaji. Gimba kubwa la maji ni ziwa la Titicaca mpakani wa Peru na Bolivia upande wa kaskazini wa Altiplano.

Hali ya hewa ni baridi na yabisi.

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika Kusini bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Altiplano kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.