17 Machi
Mandhari
Feb - Machi - Apr | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 17 Machi ni siku ya 76 ya mwaka (ya 77 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 289.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1231 - Shijo, mfalme mkuu wa Japani (1232-1242)
- 1834 - Gottlieb Daimler, mhandisi kutoka Ujerumani
- 1881 - Walter Hess, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1949
- 1894 - Paul Green, mwandishi wa tamthiliya kutoka Marekani
- 1919 - Nat King Cole, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1946 - Georges Köhler, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1984
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1008 - Kazan, mfalme mkuu wa Japani (984-986)
- 1272 - Go-Saga, mfalme mkuu wa Japani (1242-1246)
- 1983 - Haldan Hartline, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1967
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Patrick wa Ireland, Wafiadini wa Aleksandria, Agrikola wa Chalon, Getrude wa Nivelles, Paulo wa Kupro, Yohane Sarkander, Gabrieli Lalemant n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- BBC: On This Day
- On This Day in Canada Archived 2012-12-06 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 17 Machi kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |