Alumini
Mandhari
Alumini (aluminium) | |
---|---|
Jina la Elementi | Alumini (aluminium) |
Alama | Al |
Namba atomia | 13 |
Mfululizo safu | Metali |
Uzani atomia | 26.9815 |
Valensi | 2, 8, 3 |
Densiti | 2.70 g/cm³ |
Ugumu (Mohs) | {{{ugumu}}} |
Kiwango cha kuyeyuka | 933.47 K (660.32 °C) |
Kiwango cha kuchemka | 2792 K (2519 °C) |
Asilimia za ganda la dunia | 7.57 % |
Hali maada | mango |
Alumini ni elementi. Namba atomia yake ni 13 kwenye mfumo radidia na uzani atomia ni 26.9815. Katika mazingira ya kawaida ni metali nyepesi yenye rangi nyeupe ya kifedha. Alama yake ni Al.
Alumini ni metali inayopatikana kwa wingi katika ganda la dunia.
Kutokana na densiti husianafu ndogo inatumiwa kila mahala ambako wepesi ni muhimu kwa mfano katika ujenzi wa ndege.
pia utumika katika undaji wavitu mbali mali kam autengenesaji wa ndene
-
Vipuri vya injini hutengenezwa mara nyingi kwa Alumini kama ni muhimu kupunguza uzito