Nenda kwa yaliyomo

Mkoa wa Mersin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 14:34, 30 Machi 2024 na Riccardo Riccioni (majadiliano | michango) (→‎Viungo vya Nje)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Mkoa wa Mersin
Maeneo ya Mkoa wa Mersin nchini Uturuki
Maelezo
Kanda: Kanda ya Mediterranean
Eneo: 15,853 (km²)
Idadi ya Wakazi 2.275.216 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 33
Kodi ya eneo: 0324
Tovuti ya Gavana http://www.mersin.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/mersin


Mersin ni jina la mkoa uliopo mjini kusini mwa nchi ya Uturuki. Mkoa upo kwenye pwani ya Bahari ya Mediteranea kati ya Antalya na Adana. Mji mkuu wake ni Mersin.

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Mersin kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.