Nenda kwa yaliyomo

Venezuela : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Replacing Mt_Roraima_in_Venezuela_001.JPG with File:Kukenan_Tepuy_at_Sunset.jpg (by CommonsDelinker because: Featured Picture on Wikimedia Commons).
 
(marekebisho 47 ya kati na watumizi wengine 25 na yule ambaye hajaonyeshwa)
Mstari 15: Mstari 15:
|government_type = [[Shirikisho la jamhuri]]
|government_type = [[Shirikisho la jamhuri]]
|leader_titles =[[Rais wa Venezuela|Rais]]
|leader_titles =[[Rais wa Venezuela|Rais]]
|leader_names =[[Hugo Chavez|Hugo Chávez Frías]]
|leader_names =[[Nicolás Maduro]]
|area_rank = ya 33
|area_rank = ya 33
|area_magnitude = 1 E11
|area_magnitude = 1 E11
|area=916,445
|area=916,445
|areami²=353,841
|areami²=353,841
|percent_water =0.3
|percent_water =0.32
|population_estimate = 26,749,000
|population_estimate = 33,221,865
|population_estimate_rank = ya 43
|population_estimate_rank = ya 44
|population_estimate_year = Julai 2005
|population_estimate_year = 2015
|population_census = 23,054,210
|population_census = 23,054,210
|population_census_year = 2001
|population_census_year = 2001
|population_density =29
|population_density =30.2
|population_densitymi² =75
|population_densitymi² =77
|population_density_rank =ya 175
|population_density_rank =ya 175
|GDP_PPP = $163.503 billion <!--IMF-->
|GDP_PPP = $163.503 billion <!--IMF-->
Mstari 45: Mstari 45:
|country_code =
|country_code =
|time_zone = [[Atlantic Standard Time Zone|AST]]
|time_zone = [[Atlantic Standard Time Zone|AST]]
|utc_offset = -4:30
|utc_offset = -4
|time_zone_DST = None
|time_zone_DST = None
|utc_offset_DST =
|utc_offset_DST =
Mstari 52: Mstari 52:
|footnotes = <sup>1</sup> ''Jamhuri ya Kibolivari ya Venezuela'' imekuwa jina la nchi tangu katiba ya [[1999]]. "Kibolivar" ni jina la heshima kwa kumbukumbu ya mshujaa wa uhuru [[Simon Bolivar]].<br /><sup>2</sup> Zamani: ''Dios y Federación'' ("Mungu na Shirikisho")<br /><sup>3</sup> Katiba inatambua pia lugha asilia zote nchini.
|footnotes = <sup>1</sup> ''Jamhuri ya Kibolivari ya Venezuela'' imekuwa jina la nchi tangu katiba ya [[1999]]. "Kibolivar" ni jina la heshima kwa kumbukumbu ya mshujaa wa uhuru [[Simon Bolivar]].<br /><sup>2</sup> Zamani: ''Dios y Federación'' ("Mungu na Shirikisho")<br /><sup>3</sup> Katiba inatambua pia lugha asilia zote nchini.
}}
}}
[[Picha:Ve-map.png|thumb|300px|left|Ramani ya Venezuela]]
[[Picha:Ve-map.png|thumb|300px|right|Ramani ya Venezuela.]]
'''Venezuela''' ni nchi katika Kaskazini ya [[Amerika ya Kusini]].
'''Venezuela''' ni nchi kaskazini mwa [[Amerika ya Kusini]].

Imepakana na [[Brazil]], [[Guyana]] na [[Kolombia]].
Imepakana na [[Brazil]], [[Guyana]] na [[Kolombia]].


Mbele ya pwani la nchi katika [[Bahari ya Karibi]] kuna madola ya visiwani ya [[Aruba]], [[Antili za Kiholanzi]] na [[Trinidad na Tobago]].
Mbele ya [[pwani]] ya [[Bahari ya Karibi]] kuna ma[[dola]] ya visiwani ya [[Aruba]], [[Antili za Kiholanzi]] na [[Trinidad na Tobago]].


Venezuela ilikuwa koloni ya [[Hispania]] hadi mwaka [[1811]] na lugha ya [[Kihispania]] ni lugha ya kitaifa.
Venezuela ilikuwa koloni la [[Hispania]] hadi mwaka [[1811]] na [[lugha]] ya [[Kihispania]] ni [[Lugha ya taifa|lugha ya kitaifa]].


Kikatiba Venezuela ni shirikisho la jamhuri na [[mji mkuu]] wa kitaifa ni [[Caracas]].
Kikatiba Venezuela ni [[shirikisho]] la [[jamhuri]].


[[Mji mkuu]] ni [[Caracas]].
== Asili ya jina "Venezuela" ==


== Asili ya jina "Venezuela" ==
Jina la nchi ni umbo la Kihispania la jina la mji wa [[Venezia]] ([[Italia]]). Mpelelezi Mwitalia katika utumishi wa mfalme wa Hispania [[Amerigo Vespucci]] aliona vijiji vya wenyeji waliojenga nyumba juu ya maboriti yaliyosimamishwa katika maji karibu na mwambao pasipo na kina. Vijiji vilimkubusha juu ya mji wa Venezia uliojengwa vile. Venezuela yamaanisha "Venezia Ndogo" katika Kihispania.
[[Jina]] la nchi ni [[umbo]] la Kihispania la jina la [[mji]] wa [[Venezia]] ([[Italia]]). [[Amerigo Vespucci]], [[mpelelezi]] Mwitalia katika [[utumishi]] wa [[mfalme]] wa Hispania, aliona vijiji vya wenyeji waliojenga [[nyumba]] juu ya ma[[boriti]] yaliyosimamishwa katikati ya [[maji]] karibu na [[mwambao]] pasipo [[kina]]. Vijiji vilimkubusha mji wa Venezia uliojengwa vilevile. Venezuela yamaanisha "Venezia Ndogo" katika Kihispania.


== Jiografia ==
== Jiografia ==
[[Picha:Palafito Venezuela.PNG|left|thumb|190px|Nyumba ya "palafito" jinsi ilivyoonekana zamani za Amerigo Vespucci]]
[[Picha:Palafito.jpg|left|thumb|190px|Nyumba ya "palafito" jinsi ilivyoonekana zamani za Amerigo Vespucci.]]
Venezuela ina eneo la 916,445&nbsp;km² (kama [[Namibia]]) ikiwa na pwani lenye urefu la 2,800&nbsp;km. Asilimia 39 za eneo hili ni misitu, mashamba ya kulimwa 4%, eneo la mifugo 20%, mazao ya kudumu kama [[kahawa]] 1%.
Venezuela ina eneo la [[km²]] 916,445 (kama [[Namibia]]) ikiwa na pwani yenye urefu wa [[km]] 2,800. [[Asilimia]] 39 za eneo hili ni [[misitu]], ma[[shamba]] ya kulimwa ni 4%, eneo la [[mifugo]] 20%, ma[[zao]] ya kudumu kama [[kahawa]] 1%.


Kuna kanda nne za kijiografia:
Kuna kanda nne za kijiografia:
* tambarare za pwani karibu na Maracaibo katika kaskazini-magharibi
* [[tambarare]] za pwani karibu na [[Maracaibo]] katika kaskazini-magharibi
* milima ya Andes
* [[milima]] ya [[Andes]]
* tambarere za mto Orinoko katikati ya nchi
* tambarere za mto [[Orinoko]] katikati ya nchi
* nyanda za juu za Guayana katika kusini-mashariki
* [[nyanda za juu]] za [[Guayana]] katika kusini-mashariki


=== Milima ya meza ===
=== Milima ya meza ===
Nyanda za juu za Guayana zina milima ya pekee kuna [[mlima wa meza|milima ya meza]] 115 inayoitwa "tepui" katika lugha ya wenyeji asilia.
Nyanda za juu za Guayana zina milima ya pekee: kuna [[mlima wa meza|milima ya meza]] 115 inayoitwa "tepui" katika [[lugha]] ya wakazi asilia.
Ki[[ekolojia]] hii ni eneo muhimu kwa sababu milima mingi ina mimea na wanyama za pekee tofauti na milima jirani inayopatikana hapa tu kote duniani.
Ki[[ekolojia]] hilo ni eneo muhimu kwa sababu milima mingi ina [[mimea]] na [[wanyama]] wa pekee, tofauti na milima jirani, na inapatikana hapa tu kote duniani.


Maporomoko marefu duniani yatelemka kutoka milima hii kama vile maporomoko [[Salto del Angel]] ("anguko la malaika") ambako maji huanguka mita 965.
[[Maporomoko]] marefu duniani yatelemka kutoka milima hii kama vile maporomoko ya [[Salto del Angel]] ("anguko la [[malaika]]") ambako maji huanguka [[mita]] 965.


=== Mito ===
=== Mito ===
Mto mkubwa wa Venezuela ni [[Orinoco]] mwenye urefu wa 2574 [[km]] unaoishia katika [[Atlantiki]]. Lakini mkono wa [[Brazo Casiquiare]] unajitenga na kuishia katika mto wa [[Amazonas]] nchini [[Brazil]].
Mto mkubwa wa Venezuela ni [[Orinoco]] wenye urefu wa [[km]] 2574 unaoishia katika [[Atlantiki]]. Lakini [[mkono]] wa [[Brazo Casiquiare]] unajitenga na kuishia katika mto wa [[Amazonas]] nchini [[Brazil]].


[[Tawimto|Tawimito]] muhimu ya Orinoco ni [[Rio Apure]] na [[Rio Caroni]].
[[Tawimto|Matawimto]] muhimu ya Orinoco ni [[Rio Apure]] na [[Rio Caroni]].


=== Majimbo katika shirikisho ===
=== Majimbo katika shirikisho ===
:''Tazama pia [[Majimbo ya Venezuela]]''
:''Tazama pia [[Majimbo ya Venezuela]]''
[[Picha:Mt Roraima in Venezuela 001.JPG|thumb|Mlima wa meza Mt. Roraima]]
[[Picha:Kukenan Tepuy at Sunset.jpg|thumb|Mlima wa meza Mt. Roraima]]
[[Picha:Caracas (Venezuela) - Los barios.jpg|thumb|Los Barrios ni mitaa ya vibanda vya Caracas]]
[[Picha:Caracas (Venezuela) - Los barios.jpg|thumb|Los Barrios ni mitaa ya vi[[banda]] vya Caracas]]
[[Picha:Caracas-downtown.jpg|thumb|Caracas ya kisasa]]



Venezuela ni shirikisho la madola au majimbo 23 ya kujitawala, maeneo yasiyojitawala na mkoa wa shirikisho la Caracas.
Venezuela ni shirikisho la madola au majimbo 23 ya kujitawala, maeneo yasiyojitawala na mkoa wa shirikisho wa Caracas.


<center>
<center>
Mstari 132: Mstari 134:
|align=left | [[Miranda (Venezuela)|Miranda]] || [[Los Teques]] || 2,330,872 || 7,950&nbsp;km² || Capital ||
|align=left | [[Miranda (Venezuela)|Miranda]] || [[Los Teques]] || 2,330,872 || 7,950&nbsp;km² || Capital ||
|-
|-
|align=left | [[Monagas]] || [[Maturín]] || 712,626 || 28,930&nbsp;km² || Nor - Oriental || [[Picha:Venezuela-monagas.jpg|65px]]
|align=left | [[Monagas]] || [[Maturín]] || 712,626 || 28,930&nbsp;km² || Nor - Oriental || [[Picha:Monagas in Venezuela.svg|65px]]
|-
|-
|align=left | [[Nueva Esparta]] || [[La Asunción]] || 712,626 || 1,150&nbsp;km² || Insular || [[Picha:Venezuela-esparta.jpg|65px]]
|align=left | [[Nueva Esparta]] || [[La Asunción]] || 712,626 || 1,150&nbsp;km² || Insular || [[Picha:Nueva Esparta in Venezuela.svg|65px]]
|-
|-
|align=left | [[Portuguesa]] || [[Guanare]] || 725,740 || 15,200&nbsp;km² || Central - Occidental ||
|align=left | [[Portuguesa]] || [[Guanare]] || 725,740 || 15,200&nbsp;km² || Central - Occidental ||
Mstari 156: Mstari 158:


</center>
</center>

==Watu==
Wakazi wengi (51.6%) wanajiainisha kama ma[[chotara]] wa Kizungu-Kiindio. [[Wazungu]] ni 43.6%, wenye asili ya [[Afrika]] ni 3.5% na [[Waindio]] 2.6%. Utafiti wa DNA unaonyesha kwamba [[urithi]] wa [[jeni]] kwa asilimia 60.6 ni wa Kizungu, 23 ni wa Kiindio na 16.3 ni wa Kiafrika.

[[Lugha rasmi]] na ya kawaida ni Kihispania, ingawa lugha asilia zinakubalika kwa Waindio, na lugha nyingine zinatumiwa na [[wahamiaji]].

Upande wa [[dini]], 88% ni [[Wakristo]], hasa wa [[Kanisa Katoliki]] (71%) na [[madhehebu]] mbalimbali ya [[Uprotestanti]] (17%).

== Tazama pia ==
* [[Orodha ya nchi kufuatana na wakazi]]


== Viungo vya nje ==
== Viungo vya nje ==
{{commons}}
* {{es}} [http://www.gobiernoenlinea.ve/ Serikali ya Venezuela tovuti rasmi]
* {{es}} [http://www.gobiernoenlinea.ve/ Serikali ya Venezuela tovuti rasmi] {{Wayback|url=http://www.gobiernoenlinea.ve/ |date=20010625100419 }}
*{{en}} {{CIA World Factbook link|ve|Venezuela}}
*{{en}} [http://ucblibraries.colorado.edu/govpubs/for/venezuela.htm Venezuela] {{Wayback|url=http://ucblibraries.colorado.edu/govpubs/for/venezuela.htm |date=20080607090601 }} at ''UCB Libraries GovPubs''
*{{en}} {{dmoz|Regional/South_America/Venezuela/}}
*{{en}} [http://lcweb2.loc.gov/frd/cs/vetoc.html Venezuela] from the [[Library of Congress Country Studies]] (1990)
*{{en}} [http://news.bbc.co.uk/2/hi/americas/country_profiles/1229345.stm Venezuela profile] from the [[BBC News]]
*{{en}} [http://www.cartografareilpresente.org/rubrique109.html?lang=en Maps on Venezuela – Cartographic features] {{Wayback|url=http://www.cartografareilpresente.org/rubrique109.html?lang=en |date=20130116234858 }}
*{{en}} [http://www.ifs.du.edu/ifs/frm_CountryProfile.aspx?Country=VE Key Development Forecasts for Venezuela] from [[International Futures]]
*{{ar icon}} [http://www.immigrationtovenezuela.com.ve/index.php/2013-10-02-22-52-18/2013-10-02-22-58-18 Venezuela and Tourism] {{Wayback|url=http://www.immigrationtovenezuela.com.ve/index.php/2013-10-02-22-52-18/2013-10-02-22-58-18 |date=20131218043924 }} from [[Sky Immigration]]
*{{Wikiatlas|Venezuela}}


{{Amerika Kusini}}
{{Amerika Kusini}}
{{commons}}
{{mbegu-jio-AmerikaKusini}}
{{mbegu-jio-AmerikaKusini}}


Mstari 167: Mstari 188:
[[Jamii:Karibi]]
[[Jamii:Karibi]]
[[Jamii:Nchi za Amerika Kusini]]
[[Jamii:Nchi za Amerika Kusini]]
[[Jamii:Nchi zinazotumia Kihispania]]

[[ace:Vènèzuèla]]
[[af:Venezuela]]
[[als:Venezuela]]
[[an:Venezuela]]
[[ang:Feneswela]]
[[ar:فنزويلا]]
[[arz:فنيزويلا]]
[[ast:Venezuela]]
[[ay:Winïxwila]]
[[az:Venesuela]]
[[bar:Venezuela]]
[[bat-smg:Venesoela]]
[[bcl:Benesuela]]
[[be:Венесуэла]]
[[be-x-old:Вэнэсуэла]]
[[bg:Венецуела]]
[[bi:Venezuela]]
[[bm:Venezuela]]
[[bn:ভেনেজুয়েলা]]
[[bo:ཝེ་ནེ་ཟུའེ་ལ།]]
[[bpy:ভেনেজুয়েলা]]
[[br:Venezuela]]
[[bs:Venecuela]]
[[ca:Veneçuela]]
[[cbk-zam:Venezuela]]
[[ceb:Venezuela]]
[[ckb:ڤێنێزوێلا]]
[[co:Venezuela]]
[[crh:Venesuela]]
[[cs:Venezuela]]
[[cv:Венесуэла]]
[[cy:Venezuela]]
[[da:Venezuela]]
[[de:Venezuela]]
[[diq:Venezuela]]
[[dsb:Venezuela]]
[[dv:ވެނެޒުއޭލާ]]
[[ee:Venezuela]]
[[el:Βενεζουέλα]]
[[en:Venezuela]]
[[eo:Venezuelo]]
[[es:Venezuela]]
[[et:Venezuela]]
[[eu:Venezuela]]
[[ext:Veneçuela]]
[[fa:ونزوئلا]]
[[fi:Venezuela]]
[[fiu-vro:Venezuela]]
[[fo:Venesuela]]
[[fr:Venezuela]]
[[frp:Venezuèla]]
[[fy:Fenezuëla]]
[[ga:Veiniséala]]
[[gag:Venesuela]]
[[gd:A' Bheiniseala]]
[[gl:Venezuela]]
[[gn:Venesuéla]]
[[gu:વેનેઝુએલા]]
[[gv:Yn Veneswaaley]]
[[he:ונצואלה]]
[[hi:वेनेज़ुएला]]
[[hif:Venezuela]]
[[hr:Venezuela]]
[[hsb:Venezuela]]
[[ht:Venezwela]]
[[hu:Venezuela]]
[[hy:Վենեսուելա]]
[[ia:Venezuela]]
[[id:Venezuela]]
[[ie:Venezuela]]
[[ilo:Venezuela]]
[[io:Venezuela]]
[[is:Venesúela]]
[[it:Venezuela]]
[[ja:ベネズエラ]]
[[jbo:benesuel]]
[[jv:Venezuela]]
[[ka:ვენესუელა]]
[[kbd:Венесуэлэ]]
[[kk:Венесуэла]]
[[kn:ವೆನೆಜುವೆಲಾ]]
[[ko:베네수엘라]]
[[krc:Венесуэла]]
[[ku:Venezuêla]]
[[kw:Veneswela]]
[[la:Venetiola]]
[[lad:Venezuela]]
[[lb:Venezuela]]
[[li:Venezuela]]
[[lij:Venezuela]]
[[lmo:Venezuela]]
[[ln:Venezwela]]
[[lt:Venesuela]]
[[lv:Venecuēla]]
[[mdf:Венезуела]]
[[mg:Venezoela]]
[[mhr:Венесуэла]]
[[mk:Венецуела]]
[[ml:വെനിസ്വേല]]
[[mn:Венесуэл]]
[[mr:व्हेनेझुएला]]
[[mrj:Венесуэла]]
[[ms:Venezuela]]
[[mzn:ونزوئلا]]
[[nah:Venezuela (nci)]]
[[nap:Venezuela]]
[[nds:Venezuela]]
[[ne:भेनेजुएला]]
[[nl:Venezuela]]
[[nn:Venezuela]]
[[no:Venezuela]]
[[nov:Venezuela]]
[[nv:Benezoʼééla]]
[[oc:Veneçuèla]]
[[os:Венесуэлæ]]
[[pag:Venezuela]]
[[pam:Venezuela]]
[[pap:Venezuela]]
[[pl:Wenezuela]]
[[pms:Venessuela]]
[[pnb:وینزویلا]]
[[pt:Venezuela]]
[[qu:Winisuyla]]
[[rm:Venezuela]]
[[rmy:Venezuela]]
[[rn:Venezuela]]
[[ro:Venezuela]]
[[ru:Венесуэла]]
[[rue:Венеcуела]]
[[rw:Venezuwela]]
[[sa:वेनेज्वेला]]
[[sah:Венесуэла]]
[[scn:Venezzuela]]
[[sco:Venezuela]]
[[se:Venezuela]]
[[sh:Venezuela]]
[[simple:Venezuela]]
[[sk:Venezuela]]
[[sl:Venezuela]]
[[sm:Venesuela]]
[[so:Fanansuwela]]
[[sq:Venezuela]]
[[sr:Венецуела]]
[[sv:Venezuela]]
[[szl:Wynezuela]]
[[ta:வெனிசுவேலா]]
[[tet:Venezuela]]
[[tg:Венесуэла]]
[[th:ประเทศเวเนซุเอลา]]
[[tk:Wenesuela]]
[[tl:Beneswela]]
[[tr:Venezuela]]
[[tt:Венесуэла]]
[[ug:ۋېنېسۇئېلا]]
[[uk:Венесуела]]
[[ur:وینیزویلا]]
[[uz:Venezuela]]
[[ve:Venezuela]]
[[vec:Venesueła]]
[[vi:Venezuela]]
[[vo:Venesolän]]
[[war:Venezuela]]
[[wo:Benesuwela]]
[[wuu:委内瑞拉]]
[[xal:Боливара Венесулмудин Орн]]
[[yi:ווענעזועלע]]
[[yo:Venezuela]]
[[zh:委內瑞拉]]
[[zh-classical:委內瑞拉]]
[[zh-min-nan:Venezuela]]
[[zh-yue:委內瑞拉]]

Toleo la sasa la 08:18, 22 Aprili 2021

República Bolivariana de Venezuela1
Jamhuri ya Kibolivar ya Venezuela1
Bendera ya Venezuela Nembo ya Venezuela
Bendera Nembo
Kaulimbiu ya taifa: None 2
Wimbo wa taifa: Gloria al Bravo Pueblo
Lokeshen ya Venezuela
Mji mkuu Caracas
10°30′ N 66°58′ W
Mji mkubwa nchini Caracas
Lugha rasmi Kihispania 3
Serikali Shirikisho la jamhuri
Nicolás Maduro
Uhuru
Kutoka Hispania
Kutoka Gran Colombia
ilitambuliwa

5 Julai 1811
21 Novemba 1831
30 Machi 1845
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
916,445 km² (ya 33)
0.32
Idadi ya watu
 - 2015 kadirio
 - 2001 sensa
 - Msongamano wa watu
 
33,221,865 (ya 44)
23,054,210
30.2/km² (ya 175)
Fedha Bolivar (VEB)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
AST (UTC-4)
None (UTC)
Intaneti TLD .ve
Kodi ya simu +58

-

1 Jamhuri ya Kibolivari ya Venezuela imekuwa jina la nchi tangu katiba ya 1999. "Kibolivar" ni jina la heshima kwa kumbukumbu ya mshujaa wa uhuru Simon Bolivar.
2 Zamani: Dios y Federación ("Mungu na Shirikisho")
3 Katiba inatambua pia lugha asilia zote nchini.


Ramani ya Venezuela.

Venezuela ni nchi kaskazini mwa Amerika ya Kusini.

Imepakana na Brazil, Guyana na Kolombia.

Mbele ya pwani ya Bahari ya Karibi kuna madola ya visiwani ya Aruba, Antili za Kiholanzi na Trinidad na Tobago.

Venezuela ilikuwa koloni la Hispania hadi mwaka 1811 na lugha ya Kihispania ni lugha ya kitaifa.

Kikatiba Venezuela ni shirikisho la jamhuri.

Mji mkuu ni Caracas.

Asili ya jina "Venezuela"[hariri | hariri chanzo]

Jina la nchi ni umbo la Kihispania la jina la mji wa Venezia (Italia). Amerigo Vespucci, mpelelezi Mwitalia katika utumishi wa mfalme wa Hispania, aliona vijiji vya wenyeji waliojenga nyumba juu ya maboriti yaliyosimamishwa katikati ya maji karibu na mwambao pasipo kina. Vijiji vilimkubusha mji wa Venezia uliojengwa vilevile. Venezuela yamaanisha "Venezia Ndogo" katika Kihispania.

Jiografia[hariri | hariri chanzo]

Nyumba ya "palafito" jinsi ilivyoonekana zamani za Amerigo Vespucci.

Venezuela ina eneo la km² 916,445 (kama Namibia) ikiwa na pwani yenye urefu wa km 2,800. Asilimia 39 za eneo hili ni misitu, mashamba ya kulimwa ni 4%, eneo la mifugo 20%, mazao ya kudumu kama kahawa 1%.

Kuna kanda nne za kijiografia:

Milima ya meza[hariri | hariri chanzo]

Nyanda za juu za Guayana zina milima ya pekee: kuna milima ya meza 115 inayoitwa "tepui" katika lugha ya wakazi asilia. Kiekolojia hilo ni eneo muhimu kwa sababu milima mingi ina mimea na wanyama wa pekee, tofauti na milima jirani, na inapatikana hapa tu kote duniani.

Maporomoko marefu duniani yatelemka kutoka milima hii kama vile maporomoko ya Salto del Angel ("anguko la malaika") ambako maji huanguka mita 965.

Mito[hariri | hariri chanzo]

Mto mkubwa wa Venezuela ni Orinoco wenye urefu wa km 2574 unaoishia katika Atlantiki. Lakini mkono wa Brazo Casiquiare unajitenga na kuishia katika mto wa Amazonas nchini Brazil.

Matawimto muhimu ya Orinoco ni Rio Apure na Rio Caroni.

Majimbo katika shirikisho[hariri | hariri chanzo]

Tazama pia Majimbo ya Venezuela
Mlima wa meza Mt. Roraima
Los Barrios ni mitaa ya vibanda vya Caracas


Venezuela ni shirikisho la madola au majimbo 23 ya kujitawala, maeneo yasiyojitawala na mkoa wa shirikisho wa Caracas.

Jimbo Mji Mkuu Wakazi Eneo Kanda
Amazonas Puerto Ayacucho 70,464 180,144 km² Guayana
Anzoátegui Barcelona 1,222,225 43,300 km² Nor - Oriental
Apure San Fernando de Apure 377,756 76,500 km² Llanos
Aragua Maracay 1,449,616 7,014 km² Central
Barinas Barinas 624,508 35,200 km² Andean
Bolívar Ciudad Bolívar 1,214,846 238.000 km² Guayana
Carabobo Valencia 1,932,168 4,650 km² Central
Cojedes San Carlos 253,105 14,800 km² Central
Delta Amacuro Tucupita 97,987 40,200 km² Guayana
Falcón Coro 763,180 24,800 km² Central - Occidental
Guárico San Juan de los Morros 627,086 64,986 km² Llanos
Lara Barquisimeto 1,556,415 19,800 km² Central - Occidental
Mérida Mérida 715,268 11,300 km² Andean
Miranda Los Teques 2,330,872 7,950 km² Capital
Monagas Maturín 712,626 28,930 km² Nor - Oriental
Nueva Esparta La Asunción 712,626 1,150 km² Insular
Portuguesa Guanare 725,740 15,200 km² Central - Occidental
Sucre Cumaná 786,483 11,800 km² Nor - Oriental
Táchira San Cristóbal 992,669 11,100 km² South - Occidental
Trujillo Trujillo 608,563 7,400 km² Andean
Vargas La Guaira 298,109 1,496 km² Capital
Yaracuy San Felipe 499,049 7,100 km² Central - Occidental
Zulia Maracaibo 2,983,679 63,100 km² Zulian
Dependencias Federales (maneo chini ya shirikisho) - 2,245 342 km² Insular (visiwa)
Distrito Federal Caracas (Mkoa wa shirikisho) - 2,284,921 433 km² Capital (mji mkuu)

Watu[hariri | hariri chanzo]

Wakazi wengi (51.6%) wanajiainisha kama machotara wa Kizungu-Kiindio. Wazungu ni 43.6%, wenye asili ya Afrika ni 3.5% na Waindio 2.6%. Utafiti wa DNA unaonyesha kwamba urithi wa jeni kwa asilimia 60.6 ni wa Kizungu, 23 ni wa Kiindio na 16.3 ni wa Kiafrika.

Lugha rasmi na ya kawaida ni Kihispania, ingawa lugha asilia zinakubalika kwa Waindio, na lugha nyingine zinatumiwa na wahamiaji.

Upande wa dini, 88% ni Wakristo, hasa wa Kanisa Katoliki (71%) na madhehebu mbalimbali ya Uprotestanti (17%).

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Nchi na maeneo ya Amerika Kusini

Argentina | Bolivia | Brazil | Chile | Ekuador | Guyana | Guyani ya Kifaransa | Kolombia | Paraguay | Peru | Surinam | Uruguay | Venezuela

Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika Kusini bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Venezuela kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.