Nenda kwa yaliyomo

Urithi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Urithi (kutoka neno la Kiarabu) ni vitu vyote ambavyo mtu aliyefariki dunia ameviacha na ambavyo vigawiwe kwa ndugu na wengineo kufuatana na wasia wake, sheria, desturi n.k.

Neno linatumika pia katika biolojia kumaanisha sifa na tabia za kiumbehai zinazopita kwenda kwa wazao wake kwa njia ya ADN.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]