Jump to content

Ee Mungu Nguvu Yetu

Lát'ọwọ́ Wikipedia, ìwé ìmọ̀ ọ̀fẹ́
Ee Mungu Nguvu Yetu
Orin-ìyìn National  Kenya

Ee Mungu Nguvu Yetu (Oh God of All Creation; Chineke nke Okike) je orin-ìyìn orílẹ̀-èdè mba Kenya.

Ee Mungu nguvu yetu

Ilete baraka kwetu

Haki iwe ngao na mlinzi

Natukae na undugu

Amani na uhuru

Raha tupate na ustawi.

Amkeni ndugu zetu

Tufanye sote bidii

Nasi tujitoe kwa nguvu

Nchi yetu ya Kenya

Tunayoipenda

Tuwe tayari kuilinda.

Natujenge taifa letu

Ee, ndio wajibu wetu

Kenya istahili heshima

Tuungane mikono

Pamoja kazini

Kila siku tuwe na shukrani.

O God of all creation,
Bless this our land and nation.
Justice be our shield and defender,
May we dwell in unity,
Peace and liberty.
Plenty be found within our borders.

Let one and all arise
With hearts both strong and true.
Service be our earnest endeavour,
And our Homeland of Kenya,
Heritage of splendour,
Firm may we stand to defend.

Let all with one accord
In common bond united,
Build this our nation together,
And the glory of Kenya,
The fruit of our labour
Fill every heart with thanksgiving.

Chineke nke Okike
Gozie ala anyi na obodo anyi