Nenda kwa yaliyomo

ulimi

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

Nomino

[hariri]

ulimi (wingi ndimi)

  1. sehemu ya mwili wa binadamu mdomoni unaopatikana katikati ya meno ni miongini mwa milango mitano ya fahamu na pia husaidia kujua ladha ya kitu kikiwa kichachu,kitamu au kichungu.

Tafsiri

[hariri]