Wikipedia ya Kiebrania
Mandhari
(Elekezwa kutoka Wikipedia ya Kiyahudi)
Kisara | http://he.wikipedia.org/ |
---|---|
Ya kibiashara? | Hapana |
Kujisajiri | Hiari |
Lugha asilia | Kiyahudi |
Mmiliki | Wikimedia Foundation |
Wikipedia ya Kiebrania (Kiebrania: ויקיפדיה: האנציקלופדיה החופשית; inamtamkwa Wikipedia: HaEntziklopedia HaHofshit, wakati Wikipedia inatamkwa na baadhi yao Vikipedia; wikiˈpedia haʔentsikloˈpedia haχofˈʃit) ni toleo la kamusi elezo ya Wikipedia kwa lugha ya Kiebrania. Toleo hili lilianzishwa mnamo mwezi wa Julai katika mwaka wa 2003 na kwa tar. 11 Aprili ya mwaka wa 2009, imefikisha zaidi ya makala 90,000.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- (Kiebrania) Hebrew Wikipedia
Wikipedia ya Kiebrania ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wikipedia ya Kiebrania kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |