Visiwa vidogo vya Venezuela
Mandhari
Visiwa vidogo vya Venezuela katika bahari ya Karibi viko chini ya meya wa Caracas, mji mkuu wa nchi.
Ni vyote, isipokuwa vile vyenye wakazi wengi vinavyounda jimbo la Nueva Esparta.
Ni hivyo vifuatavyo:
- Los Monjes (funguvisiwa)
- La Tortuga (kisiwa)
- La Sola (kisiwa)
- Los Testigos (visiwa)
- Los Frailes (visiwa)
- Patos (kisiwa)
- Los Roques (funguvisiwa)
- Blanquilla (kisiwa)
- Los Hermanos (funguvisiwa)
- La Orchila (kisiwa)
- Las Aves (funguvisiwa)
- Aves (kisiwa)
Kwa jumla ni kilometa mraba 342, lakini wakazi ni 2,155 tu, wengi wakiwa wanaongea Kihispania na kufuata Ukristo katika Kanisa Katoliki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Territorio Insular
- Los Roques Comunidad Archived 19 Februari 2015 at the Wayback Machine.
- Map of the Dependencias Federales Archived 3 Oktoba 2008 at the Wayback Machine.
- Cost of living for Dependencias Federales Archived 23 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Visiwa vidogo vya Venezuela kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |