Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa ndege wa Dodoma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa ndege wa Dodoma

Uwanja wa ndege wa Dodoma ni kiwanja cha ndege kinachohudumia jiji la Dodoma, mji mkuu wa Tanzania. Ina njia ya kurukia ndeg yenye urefu wa mita 2450 (futi 8038) katika muinuko wa mita 1109 (3638).[1]

  1. "TCAA September NOTAM" (PDF). tcaa.go.tz. Tanzania Civil Aviation Authority. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 19 Juni 2018. Iliwekwa mnamo 26 Septemba 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]