Nenda kwa yaliyomo

Ukaragushi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
 Ukaragushi
Mfano wa ukaragushi.
Ukaragushi was 2D ukionyesha duara mbili zilizounganishwa na mnyororo.

Ukaragushi (kwa Kiingereza "animated cartoon") ni njia ya kutengeneza filamu kutokana na picha nyingi za katuni hai. Picha hizo huwekwa pamoja moja kwa moja, na kisha hucheza kwa kasi ili kutoa udanganyifu wa miondoko.

Ukaragushi ni aina mpya ya sanaa, na ingawa dhana ya kutembeza picha imekuwa mandhari katika ustaarabu wa kale, haikuwa mpaka mwishoni mwa karne ya 19 kwamba ukaragushi wa majaribio ulianza kweli.

Leo, sekta ya ukaragushi inaongezeka, na hufanya biashara kubwa. Hata hivyo, kati ya wasanii binafsi, bado ni aina ya pekee ya sanaa.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ukaragushi kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.