Nenda kwa yaliyomo

U-God

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
U-God
U-God performing in Atlanta
U-God performing in Atlanta
Maelezo ya awali
Pia anajulikana kama Golden Arms, Lucky Hands, Universal God of Law, Baby U, Baby Huey, Four-Bar Killer, Ugodz-Illa
Amezaliwa 7 Oktoba 1970 (1970-10-07) (umri 54)
Asili yake Staten Island, New York City, New York, US
Aina ya muziki Hip hop
Miaka ya kazi 1990–mpaka sasa
Studio Priority Records
Free Agency Recordings
Ame/Wameshirikiana na Wu-Tang Clan
Hillside Scramblers


Lamont Jody Hawkins (amezaliwa tar. 7 Oktoba 1970) ni msanii wa muziki wa hip hop kutoka nchini Marekani. Huyu ni mmoja kati ya wanaounda kundi zima la marapa la Wu-Tang Clan. Yeye amekuwa na kundi hilo tangu kuanzishwa kwake, na unajulikana kwa kuwa na kina kirefu, yaani, kwa staili yake ya kuimba kama anasinzia na kuweza kuibadili kuwa ya kigumu halafu ya laini. Huyu huenda akawa mwanachama mwenye daraja la chini sana kundini.

Hawkins alizaliwa mjini Brownsville, Brooklyn, New York. Lakini alihamia mjini Staten Island akiwa bado bwana mdogo. Awali alikuwa mpiga biti wa mwanachama wa Clan, Cappadonna, vilevile kuwa baadaye rafiki kubwa wa wanachama wenzi wa kundini, Method Man, Inspectah Deck, na Raekwon. Kabla ya kujiunga na kundi, U-God alivutiwa sana na rap ya Cappadonna. Baadaye kidogo akaja kuwa rafiki wa karibu wa RZA na Ghostface, na akaanza kupasuka kundini akitumia jina la Golden Arms, ambalo linatoka na filamu ya Kung-Fu ya The Kid with the Golden Arm. Baadaye akabadili jina lake na kujiita U-God.[1] U-God has also stated that he has been diagnosed with schizophrenia.[2]

Diskografia

[hariri | hariri chanzo]

Albamu za Kujitegemea

[hariri | hariri chanzo]
Mwaka Jina Chati[3][4] Matunukio ya RIAA[5]
U.S. Hot 100 U.S. R&B U.S. Rap
1999 Golden Arms Redemption
  • Imetolewa: 5 Oktoba 1999
  • Studio: Priority Records
58 15 Gold
2005 Mr. Xcitement
  • Imetolewa: 13 Septemba 2005
  • Studio: Free Agency Recordings
- - -
2009 Dopium
  • Imetolewa: 23 Juni 2009 [6]
  • Studio: Babygrande Records
- 93 -
  1. http://youtube.com/watch?v=D4GBEARaH30&feature=related
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-07-22. Iliwekwa mnamo 2009-11-05.
  3. Billboard chartings. Accessed 29 Oktoba 2007.
  4. UK Album chartings. Accessed 10 Novemba 2007.
  5. Searchable Database. RIAA. Accessed 29 Oktoba 2007.
  6. http://www.myspace.com/ugod

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu U-God kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.