Nenda kwa yaliyomo

Tishu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tishu ni mkusanyiko wa seli za aina moja ambazo kwa pamoja hufanya kazi maalumu katika kiumbehai. Kisha viungo vinaundwa kwa muunganiko wa tishu mbalimbali.

Somo linalohusika na tishu linajulikana kama histolojia au, katika uhusiano na magonjwa hujulikana kama histopatholojia.

  • Raven, Peter H., Evert, Ray F., & Eichhorn, Susan E. (1986). Biology of Plants (4th ed.). New York: Worth Publishers. ISBN 0-87901-315-X.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tishu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.