Nenda kwa yaliyomo

Terrylene Sacchetti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Terrylene Sacchetti (Februari 5, 1967) ni mwigizaji kiziwi kutoka Chicago, Illinois. Alihitimu kutoka shule ya sekondari ya Model ya viziwi mnamo 1985. [1]

Maisha binafsi

[hariri | hariri chanzo]

Terrylene anatoka katika familia ya viziwi.[2] Alikuwa katika mahusiano na Robert Manganelli, mtengenezaji wa filamu hadi mwaka 2008. Walikuwa na watoto wawili, Gianni (Gio) Manganelli na Catalene Robin Manganelli. Gio alifariki mnamo Machi 2014.

  1. "Deaf Actress Terrylene, MSSD Alumna, Visits MSSD". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-07-14. Iliwekwa mnamo 2014-07-03.
  2. "Deaf Jam". New Day Films. Julai 16, 2014. Iliwekwa mnamo Okt 30, 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Terrylene Sacchetti kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.