Nenda kwa yaliyomo

Taifa Stars

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tanzania
Shirt badge/Association crest
Nickname(s)Taifa Stars
ShirikaTanzania Football Federation
ShirikishoCAF (Africa)
Kocha mkuuHemed Morocco
KapteniMbwana Samatta
Most capsErasto Nyoni (107)
Top scorerMrisho Ngassa (25)
Home stadiumUwanja wa Benjamin Mkapa
msimbo ya FIFATAN
cheo ya FIFAKigezo:FIFA World Rankings
Highest FIFA ranking65 (Februari 1995)
Lowest FIFA ranking175 (October–November 2005)
Elo rankingKigezo:World Football Elo Ratings
Highest Elo ranking75 (11 Novemba 1979)
Lowest Elo ranking168 (19 Disemba 2004)
Home colours
Away colours
Third colours
First international
 Uganda 7–0 Tanganyika Tanganyika (nchi)
(Uganda; 1945)
Biggest win
 Tanzania 7–0 Somalia 
(Jinja, Uganda; December 1, 1995)
 Tanzania 7–0 Somalia 
(Kampala, Uganda; December 1, 2012)
Biggest defeat
Kigezo:Flagu 0–9 Kenya 
(Tanganyika; 1956)
Africa Cup of Nations
Appearances2 (First in 1980)
Best resultGroup stage (1980 2019 and 2023 Africa Cup of Nations

Timu ya taifa ya Tanzania chini ya chama cha soka cha Tanzania TFF (Tanzania Football Federation) inaiwakilisha Tanzania katika soka ya kimataifa.

Uwanja wa taifa wa Tanzania unafahamika kwa jina la Benjamin Mkapa National Stadium uliopo jijini Dar-es-Salaam na Kocha mkuu kwa sasa ni Adel Amrouche, mwenye asili ya Algeria.

Katika historia, Tanzania haijawahi kufuzu fainali za kombe la dunia. Kabla ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar, timu hiyo ilifahamika kama Timu ya taifa ya Tanganyika.

Kwa upande wa Zanzibar, inajulikana kama mwanachama wa kujitegemea wa CAF lakini haiwezi kushiriki katika mashindano ya Afrika (Africa Cup of Nations) wala mashindano ya kombe la dunia chini ya FIFA.

Historia

Mnamo Machi 24 2019, Tanzania ilifanikiwa kuwashinda Uganda ambao ndio wapinzani wao wakuu kutokea Afrika mashariki kwa jumla ya magoli 3-0, ushindi huo uliwapeleka katika fainali za AFCON (2019 Africa Cup of Nations) hii ikiwa ni kwara ya kwanza ndani ya miaka 39, hatua hiyo ilipelekea raisi wa Tanzania mhe. John Magufuli kuizawadia timu nzima viwanja kama hatua ya kuwatia morali Zaidi, fainali hizi zilifanyika nchini Misri. Kwa sasa Tanzania imeamua kuwekeza katika timu ya taifa ili kusonga mbele Zaidi na Zaidi, katika hatua ya kufuzu fainali za AFCO, Tanzania ilifanikiwa kuifunga Burkina Faso mara mbili, katika mechi ya kirafiki dhidi ya timu ya taifa ya Cameroon, Tanzania ilishinda 1–0. Ushindi wao wa siku za karibuni ni dhidi ya timu ya taifa ya Afrika kusini kweny mashindano ya COSAFA ya 2017 katika hatua ya robo fainali lakini hawakuvuka hatua inayofuata babada ya kupoteza dhidi ya timu ya taifa ya Zambia kwa jumla ya magoli 2−4. Katika mtanange wa kutafuta mshindi wa tatu, Tanzania ilishinda mchezo huo kwa mikwaju ya penati 4-2 dhidi ya timu ya taifa ya Lesotho. Ushindi huo unakua ndio ushindi mkubwa Zaidi wa timu ya taifa ya Tanzania katika historia yake.

Benchi La Ufundi

Kocha Mkuu Tanzania Hemed Morocco
Kocha Msaidizi Tanzania Juma Mgunda
Kocha Msaidizi Ujerumani Dr. Carolin Braun
Kocha wa Golikipa Kigezo:Country data KSA Osama Al-Hamdan
Kocha wa kujenga mwili Ufini Mikael Mayoyo
Mtaalamu wa michezo Ubelgiji Joris De Vos
Mganga mkuu Tanzania Lisobine Kisongo
Meneja wa timu Tanzania Reinhard

Mataji

CECAFA Cup :

Rekodi ya Ushindani

Rekodi ya kombe la dunia

FIFA World Cup record FIFA World Cup Qualification record
Mwaka Hatua Nafasi Pld W D* L GF GA Pld W D L GF GA
Uruguay 1930 to Mexiko 1970 Haikushiriki Haikushiriki
West Germany 1974 Haikufuzu 3 0 2 1 1 4
Argentina 1978 Ilijitoa Ilijitoa
Hispania 1982 Haikufuzu 4 1 1 2 7 6
Mexiko 1986 2 0 2 0 1 1
Italia 1990 Haikushiriki Haikushiriki
Marekani 1994 Ilijitoa hatua ya kufuzu Ilijitoa hatua ya kufuzu
Ufaransa 1998 Haikufuzu 2 0 1 1 1 2
South Korea Japani 2002 2 0 0 2 2 4
Ujerumani 2006 2 0 1 1 0 3
Afrika Kusini 2010 6 2 2 2 9 6
Brazil 2014 8 3 0 5 10 14
Urusi 2018 4 1 1 2 4 10
Qatar 2022 ya kuamuliwa ya kuamuliwa
Kanada Mexiko Marekani 2026 ya kuamuliwa ya kuamuliwa
Jumla 0/21 33 7 10 16 35 50

Rekodi ya AFCON

Africa Cup of Nations
Appearances: 2
Mwaka Hatua Nafasi Pld W D L GF GA
Sudan 1957 Haina ushirika wa CAF
Misri 1959
Ethiopia 1962
Ghana 1963
Tunisia 1965
Ethiopia 1968 ilijitoa hatua ya kufuzu
Sudan 1970 Haikuifuzu
Kamerun 1972
Misri 1974
Ethiopia 1976
Ghana 1978
Nigeria 1980 Hatua ya makundi 7th 3 0 1 2 3 6
Libya 1982 Ilijitoa
Côte d'Ivoire 1984 Haikufuzu
Misri 1986 ilijitoa hatua ya kufuzu
Moroko 1988 haikufuzu
Algeria 1990
Senegal 1992
Tunisia 1994 ilijitoa hatua ya kufuzu
Afrika Kusini 1996 haikufuzu
Burkina Faso 1998
Ghana Nigeria 2000
Mali 2002
Tunisia 2004 ilijitoa hatua ya kufuzu
Misri 2006 haikufuzu
Ghana 2008
Angola 2010
Gabon Guinea ya Ikweta 2012
Afrika Kusini 2013
Guinea ya Ikweta 2015
Gabon 2017
Misri 2019 Hatua ya makundi 24th 3 0 0 3 2 8
Kamerun 2021 ya kuamuliwa
Côte d'Ivoire 2023
Guinea 2025
Jumla Hatua ya makundi 2/32 6 0 1 5 5 14

Rekodi ya mataifa ya Afrika

African Nations Championship
Kushiriki: 1
Mwaka Hatua Nafasi Pld W D* L GF GA
Côte d'Ivoire 2009 Group stage 5th 3 1 1 1 2 2
Sudan 2011 Did not qualify
Afrika Kusini 2014
Rwanda 2016
Moroko 2018
Kamerun 2020 ’’ya kuamuliwa’'
Algeria 2022
Jumla Hatua ya makundi 1/5 3 1 1 1 2 2

Michezo ya Afrika

Mpira wa miguu wa mashindano ya African Games imekua ikichezwa na walio na umri chini ya miaka 23 tangu mwaka 1991.
African Games Rekodi
Mwaka Matokeo GP W D L GS GA
Jamhuri ya Kongo 1965 - 0 0 0 0 0 0
Nigeria 1973 - 0 0 0 0 0 0
Algeria 1978 - 0 0 0 0 0 0
Kenya 1987 - 0 0 0 0 0 0
1991–mpaka sasa See Tanzania national under-23 football team
Jumla 4/4 0 0 0 0 0 0

Matokeo ya hivi karibuni na ratiba

      Ushindi       Suluhu       Kupoteza

2018

Kigezo:Footballbox collapsible Kigezo:Footballbox collapsible Kigezo:Footballbox collapsible Kigezo:Footballbox collapsible

2019

Kigezo:Footballbox collapsible Kigezo:Footballbox collapsible {{footballbox collapsible |round = [[Kirafiki] |date = 16 Juni 2019 |time = 20:00 CAT |team1 = Tanzania  |score = 1–1 |report = https://int.soccerway.com/matches/2019/06/16/world/friendlies/tanzania/zimbabwe/3028720/ |team2 =  Zimbabwe |goals1 = |goals2 = |stadium = El Sekka El Hadid Stadium |location = Cairo, Misri |attendance = |referee = |result = D }} Kigezo:Football box collapsible Kigezo:Football box collapsible Kigezo:Footballbox collapsible

Wachezaji

Kikosi cha sasa

Wachezaji 27 walichakuliwa kuiwakilisha Tanzania katika mchezo wa kufuzu mashindano ya AFCON dhidi ya Ethiopia na Guinea tarehe 4 na 10 Septemba 2024.[1]

Michezo na magoli yamewekwa mpaka tarehe 10 Septemba 2024 baada ya mchezo dhidi ya Guinea.

0#0 Pos. Player Date of Birth (Age) Caps Goals Club
GK Ally Salim 19 Aprili 2000 (2000-04-19) (umri 24) 5 0 Tanzania Simba
GK Abuutwalib Msheri 22 Februari 1999 (1999-02-22) (umri 25) 3 0 Tanzania Young Africans
GK Yona Geoffrey Amosi 28 Novemba 1998 (1998-11-28) (umri 25) 1 0 Tanzania Tanzania Prisons

Kigezo:Nat fs break

DF Mohamed Husseini 1 Novemba 1996 (1996-11-01) (umri 28) 46 0 Tanzania Simba
DF Bakari Mwamnyeto 5 Oktoba 1995 (1995-10-05) (umri 29) 44 0 Tanzania Young Africans
DF Dickson Job 29 Desemba 2000 (2000-12-29) (umri 23) 25 1 Tanzania Young Africans
DF Ibrahim Hamad 12 Novemba 1997 (1997-11-12) (umri 26) 18 1 Tanzania Young Africans
DF Nickson Kibabage 12 Oktoba 2000 (2000-10-12) (umri 24) 15 0 Tanzania Young Africans
DF Lusajo Mwaikenda 27 Oktoba 2000 (2000-10-27) (umri 24) 12 0 Tanzania Azam
DF Pascal Msindo 15 Agosti 2003 (2003-08-15) (umri 21) 2 0 Tanzania Azam
DF Abdulmalik Zakaria 3 Machi 1996 (1996-03-03) (umri 28) 2 0 Tanzania Namungo
DF Nathaniel Chilambo 10 Novemba 1999 (1999-11-10) (umri 24) 0 0 Tanzania Azam

Kigezo:Nat fs break

MF Himid Mao 15 Novemba 1992 (1992-11-15) (umri 31) 79 2 Misri Ghazl El Mahalla
MF Feisal Salum 11 Januari 1998 (1998-01-11) (umri 26) 41 3 Tanzania Azam
MF Mudathir Yahya 6 Mei 1995 (1995-05-06) (umri 29) 34 1 Tanzania Young Africans
MF Novatus Miroshi 2 Septemba 2002 (2002-09-02) (umri 22) 24 3 Uturuki Göztepe
MF Adolf Bitegeko 26 Desemba 1998 (1998-12-26) (umri 25) 2 0 Tanzania Azam
MF Abel Josiah 4 Novemba 2010 (2010-11-04) (umri 14) 1 0 Tanzania TDS TFF Academy
MF Hussein Semfuko 17 Mei 2004 (2004-05-17) (umri 20) 0 0 Tanzania Coastal Union

Kigezo:Nat fs break

FW Edwin Balua 8 Agosti 2001 (2001-08-08) (umri 23) 5 0 Tanzania Simba
FW Clement Mzize 7 Januari 2004 (2004-01-07) (umri 20) 5 0 Tanzania Young Africans
FW Waziri Shentembo 11 Agosti 1996 (1996-08-11) (umri 28) 4 1 Tanzania KMC
FW Cyprian Kachwele 15 Februari 2005 (2005-02-15) (umri 19) 1 0 Kanada Whitecaps

Makocha

Marejeo

  1. "Final Squad". Instagram. Tanzania Football Federation.
  2. http://brotherdanny5b.blogspot.com/2013/10/taifa-stars-ilivyofuzu-kwenda-lagos-1980.html
  3. "International Matches 1987 - Africa". RSSSF. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 7 Desemba 2022. Iliwekwa mnamo 2 Februari 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "International Matches 1992 - Africa". RSSSF. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 28 Novemba 2022. Iliwekwa mnamo 2 Februari 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. http://www.rsssf.com/intldetails/1993af.html
  6. "International Matches 1998 - Africa". RSSSF. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 7 Desemba 2022. Iliwekwa mnamo 2 Februari 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  7. Emmanuel Amunike
  8. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-09-03. Iliwekwa mnamo 2019-09-12.

Viungo vya nje