Nenda kwa yaliyomo

Sisti wa Reims

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Sisti katika dirisha la kioo cha rangi katika seminari ya zamani ya Reims.

Sisti wa Reims (aliishi karne ya 3) alikuwa askofu wa kwanza wa Reims (Ufaransa) kwa miaka 20 hivi kuanzia mwaka 250 au zaidi 260.[1][2][3][4]

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Septemba[5].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Matthew Bunson, Margaret Bunson, Stephen Bunson, Our Sunday Visitor's encyclopedia of saints (Our Sunday Visitor Publishing, 2003), 762.
  2. "Histoire de l'Église de Reims". HISTOIRE DE L'ÉGLISE DE REIMS. Iliwekwa mnamo Novemba 1, 2011.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Clovis Poussin, Monographie de l'abbaye et de l'église de St.-Remi de Reims, précédée d'une notice sur le saint apôtre des Francs d'après Flodoard (Lemoine-Canart, 1857), 1-2.
  4. http://www.santiebeati.it/dettaglio/68510
  5. Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.