Nenda kwa yaliyomo

Sigara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mfano wa sigara.

Sigara ni kitu cha kuvuta moshi kinachojenga uraibu. Kinatengenezwa kwa tumbaku na kusokotwa kwa karatasi maalumu, chenye umbo refu na la mviringo.

Sigara zinasababisha madhara makubwa katika mwili wa binadamu: mara nyingi hudhuru mapafu na mfumo mzima wa upumuaji.

Sigara za kisasa za viwandani zimechujwa, na pia zinajumuisha tumbaku iliyoandaliwa.

Uvutaji wa sigara kea eneo na jinsia (2000)
Asilimia ya wavutaji
Eneo Wanaume Wanawake
Afrika 29% 4%
Amerika 35% 22%
Mediterania Mashariki 35% 4%
Ulaya 46% 26%
Asia ya Kusini Mashariki 44% 4%
Pasifiki ya Magharibi 60% 8%

Source: World Health Organization estimates, 2000

Nchi zinazoongoza kwa uvutaji sigara (1998)[1]
Nchi Idadi ya wakazi
(milioni)
Sigara zilizovutwa
(bilioni)
Sigara zilizovutwa
(kwa mtu)
Uchina 1,248 1,643 1,320
Marekani 270 451 1,670
Japani 126 328 2,600
Urusi 146 258 1,760
Indonesia 200 215 1,070

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Cigarette numbers from WHO [1], population from: China: China Population Information and Research Center (estimate?)"Archived copy" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-04-21. Iliwekwa mnamo 2008-08-02. {{cite web}}: Unknown parameter |deadurl= ignored (|url-status= suggested) (help)CS1 maint: archived copy as title (link), USA: US Census estimate [2], Japan: National Statistics Center intercensal estimate [3], Russia: Population Reference Bureau [4] Archived 27 Mei 2008 at the Wayback Machine., Indonesia: average of 1995 and 2000 figures from Statistics Indonesia "Archived copy" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-04-21. Iliwekwa mnamo 2008-08-02. {{cite web}}: Unknown parameter |deadurl= ignored (|url-status= suggested) (help)CS1 maint: archived copy as title (link), all accessed on 2 August 2008. Per capita consumption given to 3 significant figures.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sigara kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.