Nenda kwa yaliyomo

Rho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Alfabeti ya Kigiriki
Herufi za kawaida
Α α Alfa 1 Ν ν Ni 50
Β β Beta 2 Ξ ξ Ksi 60
Γ γ Gamma 3 Ο ο Omikron 70
Δ δ Delta 4 Π π Pi 80
Ε ε Epsilon 5 Ρ ρ Rho 100
Ζ ζ Dzeta 7 Σ σ ς Sigma 200
Η η Eta 8 Τ τ Tau 300
Θ θ Theta 9 Υ υ Ipsilon 400
Ι ι Iota 10 Φ φ Phi 500
Κ κ Kappa 20 Χ χ Khi 600
Λλ Lambda 30 Ψ ψ Psi 700
Μ μ Mi 40 Ω ω Omega 800
Herufi za kihistoria1
Digamma 6 San 90
Stigma 6 Sho 90
Heta 8 Koppa 90
Sampi 900
1 Viungo vya Nje:
Alfabeti_ya_Kigiriki#Viungo_vya_Nje

Rho ni herufi ya kumi na saba katika Alfabeti ya Kigiriki. Inaandikwa kama P (herufi kubwa) au ρ (herufi ndogo ya kawaida). Rho ni asili ya herufi R katika alfabeti ya Kilatini. Kuhusu mabadiliko ya umbo tazama huko. Sauti ya "r" katika alfabeti ya Kikirili huandikwa kama rho.

Katika Ugiriki ya Kale ilihesabiwa pia kama tarakimu kwa maana ya namba "100".

Jinsi ilivyo kawaida kwa herufi mbalimbali za Kigiriki, rho inatumiwa kama kifupisho kwa ajili ya dhana mbalimbali katika hesabu na fizikia. Imejulikana hasa kama alama ya densiti na pia kwa ukinzani wa umeme.

Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rho kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rho kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.