Papa Benedikto V
Mandhari
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/c/c4/Pope_Benedict_V_Illustration.jpg/200px-Pope_Benedict_V_Illustration.jpg)
Papa Benedikto V alikuwa Papa kuanzia Mei 964 hadi tarehe 4 Julai 964 au 965[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2].
Jina lake la kuzaliwa halijulikani.
Alimfuata Papa Leo VIII akafuatwa na Papa Yohane XIII.
Alilazimishwa kujiuzulu na Kaisari Otto I wa Ujerumani aliyempeleka kwenda mji wa Hamburg alipofariki tarehe 4 Julai 966.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Lua error in package.lua at line 80: module 'Module:Navbar/configuration' not found.
![]() |
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Benedikto V kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |