Mwanamazingira
Mwanamazingira ni mtu ambaye anajihusisha na kupigania hifadhi ya mazingira. Mtaalamu wa mazingira anaweza kuzingatiwa kama msaidizi wa malengo ya harakati za mazingira, "harakati za kisiasa na maadili ambayo inataka kuboresha na kulinda ubora wa mazingira ya asili kupitia mabadiliko ya shughuli za binadamu zinazodhuru mazingira".[1] Mtaalamu wa mazingira anahusika au anaamini falsafa ya mazingira.
Athari: harakati za wanamazingira zimeifanya Marekani leo kuwa mahali pazuri zaidi kiekolojia kuliko mwaka 1960 na 1970 wakati harakati zilipoanza (Goldstein 2002).
Wanamazingira mashuhuri
[hariri | hariri chanzo]Baadhi ya wanamazingira mashuhuri ambao wamekuwa wakifanya kazi katika kushawishi utunzaji na uhifadhi wa mazingira ni pamoja na:
- Saalumarada Thimmakka
- Edward Abbey (mwandishi, mwanaharakati, mwanafalsafa)
- Ansel Adams (mpiga picha, mwandishi, mwanaharakati)
- Bayarjargal Agvaantseren (mhifadhi kutoka Mongolia)
- Qazi Kholiquzzaman Ahmad (mwanaharakati wa mazingira na mchumi kutoka Bangladesh)
- David Attenborough (mtangazaji, mtaalamu wa asili)
- John James Audubon (mtaalamu wa asili)
- Sundarlal Bahuguna (mwanamazingira)
- Patriarki Bartholomayo I (askofu mkuu)
- David Bellamy (mtaalamu wa mimea)
- Ng Cho-nam (mwanamazingira wa Hong Kong na profesa mshiriki wa jiografia katika Chuo Kikuu cha Hong Kong)
- Thomas Berry (kuhani, mwanahistoria, mwanafalsafa)
- Wendell Berry (mkulima, mwanafalsafa)
- Chandi Prasad Bhatt (mwanamazingira)
- Murray Bookchin (mtawala huria, mwanafalsafa, mwanaikolojia ya jamii)
- Wendy Bowman (mwanaharakati wa mazingira kutoka Australia)
- Stewart Brand (mwandishi, mwanzilishi wa Whole Earth Catalog)
- David Brower (mwandishi, mwanaharakati)
- Molly Burhans (mchora ramani, mwanaharakati)
- Tahir Qureshi (mwanamazingira kutoka Pakistani)
- Lester Brown (mwanamazingira)
- Kevin Buzzacott (mwanaharakati wa asili)
- Michelle Dilhara (mwigizaji)
- Helen Caldicott (daktari)
- Joan Carling (mtetezi wa haki za binadamu wa Ufilipino)
- Rachel Carson (mwanabiolojia, mwandishi)
- Charles III wa Uingereza
- Chevy Chase (mchekeshaji)
- Barry Commoner (mwanabiolojia, mwanasiasa)
- Mike Cooley (mwandisi, mwanachama wa vyama vya wafanyakazi)
- Jacques-Yves Cousteau (mpelelezi, mwanaikolojia)
- Leonardo DiCaprio (mwigizaji)
- Rolf Disch (mwanamazingira na mwanzilishi wa nishati ya jua)
- René Dubos (mtaalamu wa vijiumbe)
- Paul R. Ehrlich (mwanabiolojia wa idadi ya watu)
- Hans-Josef Fell (mwanachama wa German Alliance '90 / The Greens (Green Party) )
- Jane Fonda (mwigizaji)
- Mizuho Fukushima (mwanasiasa, mwanaharakati)
- Rolf Gardiner (mfufuaji wa vijiji)
- Peter Garrett (mwanamuziki, mwanasiasa)
- Al Gore (mwanasiasa, makamu wa zamani wa rais wa Marekani)
- Tom Hanks (mwigizaji)
- James Hansen (mwanasayansi)
- Denis Hayes (mwanamazingira na mtetezi wa nishati ya jua)
- Daniel Hooper, AKA Kinamasi (mwanaharakati wa mazingira)
- Nicolas Hulot (mwandishi wa habari na mwandishi)
- Robert Hunter (mwandishi wa habari, mwanzilishi mwenza na rais wa kwanza wa Greenpeace)
- Tetsunari Iida (mtetezi wa nishati endelevu)
- Jorian Jenks (mkulima wa Uingereza)
- Naomi Klein (mwandishi, mwanaharakati)
- Winona LaDuke (mwanamazingira)
- A. Carl Leopold (mtaalamu wa fizikia ya mimea)
- Aldo Leopold (mwanaekolojia)
- Charles Lindbergh (rubani)
- James Lovelock (mwanasayansi)
- Amory Lovins (mchambuzi wa sera ya nishati)
- Hunter Lovins (mwanamazingira)
- Caroline Lucas (mwanasiasa)
- Mark Lynas (mwandishi wa habari, mwanaharakati)
- Kaveh Madani (mwanasayansi, mwanaharakati)
- Xiuhtezcatl Martinez (mwanaharakati)
- Peter Max (mbunifu wa picha)
- Michael McCarthy (mtaalamu wa asili, mwandishi wa habari wa gazeti, mwandishi wa safu ya gazeti, na mtunzi)
- Bill McKibben (mwandishi, mwanaharakati)
- David McTaggart (mwanaharakati)
- Mahesh Chandra Mehta (mwanasheria, mwanamazingira)
- Chico Mendes (mwanaharakati)
- George Monbiot (mwandishi wa habari)
- John Muir (mtaalamu wa asili, mwanaharakati)
- Luke Mullen (mwigizaji, mtengeneza filamu, mwanamazingira/mwanaharakati)
- Hilda Murrell (mtaalamu wa mimea, mawanaharakati)
- Ralph Nader (mwanaharakati)
- Gaylord Nelson (mwanasiasa)
- Eugene Pandala (msanifu majengo, mwanamazingira, mhifadhi wa asili na utamaduni)
- Medha Patkar (mwanaharakati)
- Alan Pears (mshauri mwelekezi wa mazingira na mwanzilishi wa ufanisi wa nishati)
- River Phoenix (mwigizaji, mwanamuziki, mwanaharakati)
- Jonathon Porritt (mwanasiasa)
- Phil Radford (mwanamazingira, mtetezi wa nishati safi na demokrasia, Mkurugenzi Mtendaji wa Greenpeace)
- Bonnie Raitt (mwanamuziki)
- Theodore Roosevelt (rais wa zamani wa Marekani)[2]
- Hakob Sanasaryan (biochemist, mwanaharakati)
- Ken Saro-Wiwa (mwandishi, mtayarishaji wa televisheni, mwanaharakati)
- E. F. Schumacher (mtunzi wa Small Is Beautiful)
- Shimon Schwarzschild (mwandishi, mwanaharakati)
- Vandana Shiva (mwanaharakati wa mazingira)
- Gary Snyder (mshairi)
- Jill Stein
- Swami Sundaranand (yogi, mpiga picha, mtunzi na mpanda mlima)
- David Suzuki (mwanasayansi, mwanahabari)
- Candice Swanepoel (mwanamitindo)
- Shōzō Tanaka (mwanasiasa na mwanaharakati)
- Henry David Thoreau (mwandishi, mwanafalsafa)
- Greta Thunberg (mwanaharakati)[3]
- J. R. R. Tolkien (mwandishi)
- Jo Valentine (mwanasiasa na mwanaharakati)
- Dominique Voynet (mwanasiasa na mwanamazingira)
- Christopher O. Ward (mtaalamu wa miundombinu ya maji)
- Harvey Wasserman (mwandishi wa habari, mwanaharakati)
- Paul Watson (mwanaharakati na mhadhiri)
- Robert K. Watson (mtetezi wa mazingira, mwanzilishi wa Uongozi katika Nishati na Muuundo wa Mazingira
- Franz Weber (mwanamazingira na mwanaharakati wa ustawi wa wanyama)
- Henry Williamson (mtaalamu wa asili, mwandishi)
- Shailene Woodley (mwigizaji)
- Władysław Zamoyski mmiliki wa ardhi kutoka Uholanzi
Ugani
[hariri | hariri chanzo]Katika miaka ya hivi karibuni, hakuna tu watunza mazingira ya asili lakini pia wanaotunza mazingira ya wanadamu. Kwa mfano, wanaharakati ambao wanatafuta "nafasi ya kijani kibichi" kwa kuondoa shida za mtandao, TV ya kebo, na simu mahiri wameitwa watunza-habari.[4]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "environmentalism - Ideology, History, & Types". Encyclopedia Britannica.
- ↑ Brinkley, Douglas (2009-07-28). The Wilderness Warrior: Theodore Roosevelt and the Crusade for America. 2009: Harper Collins. ISBN 9780060565282.
{{cite book}}
: CS1 maint: location (link) - ↑ Jung, Jieun; Petkanic, Peter; Nan, Dongyan; Kim, Jang Hyun (2020-03-30). "When a Girl Awakened the World: A User and Social Message Analysis of Greta Thunberg". Sustainability (kwa Kiingereza). 12 (7): 2707. doi:10.3390/su12072707. ISSN 2071-1050.
- ↑ "E-serenity, now!", Christian Science Monitor, 2004-05-10.