Mulendi
Mandhari
Mulendi ni aina mojawapo ya miti inayopatikana katika nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika. Jina lake la kisayansi ni Sterculia quinqueloba[1].
Mti huu unatumika kama eneo la maombi ya dini za jadi na Wandembu wa Zambia[2].
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Flora of Zimbabwe: Species information: Sterculia quinqueloba". web.archive.org. 2019-07-31. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-07-31. Iliwekwa mnamo 2019-07-31.
- ↑ Turner, Victor; Turner, Victor Witter (1970). The Forest of Symbols: Aspects of Ndembu Ritual (kwa Kiingereza). Cornell University Press. ISBN 9780801491016.
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mulendi kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |