Mimi ni Marcos Cramer kutoka Ujerumani. Kiswahili siyo lugha yangu ya mama, lakini nimeamua kusaidia na Wikipedia wa Kiswahili, kwa sababu bado hakuna watu wengi wanaosaidi.
Ninasaidia sana na Wikipedia wa Kiesperanto, na kidogo na Wikipedia za Kijerumani na Kiingereza.