Mtumiaji:Deriritsam
Mandhari
Lugha | ||||
---|---|---|---|---|
|
Mimi ni Samuel Nderitu, mzaliwa wa Kenya . Sasa hivi mimi ni mwanafunzi katika Chuo Kikuu cha Kenyatta, mwaka wa Nne. Nilizaliwa Nairobi mwezi wa nane mwaka wa 1981. Nimelelewa Nairobi, na nimesomea kuku huku. Nilifanya masomo yangu ya msingi katika Olympic Primary School, Nairobi. Kisha niliendelea na masomo yangu katika Queen of Apostles Seminary, Nairobi.