Nenda kwa yaliyomo

Momozono

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchoro wa Momozono

Momozono (14 Aprili 174131 Agosti 1762) alikuwa mfalme mkuu wa 116 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Toohito. Tarehe 9 Juni 1747 alimfuata baba yake, Sakuramachi, na kuwa mfalme hadi kifo chake. Aliyemfuata ni dada yake, Go-Sakuramachi.

Angalia pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Momozono kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.