Nenda kwa yaliyomo

Mehmed II

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Mehmed Fatih)
Sultani Mehmed Fatih mshindi wa Konstantinopoli 1453.

Mehmed II (pia: Mehmed Fatih; 1 Aprili 14303 Mei 1481) alikuwa Sultani wa Milki ya Osmani. Alijulikana hasa kwa sababu alivamia mji wa Konstantinopoli mwaka 1453 akamaliza milki ya Bizanti.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mehmed II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.