Nenda kwa yaliyomo

Matt Hamill

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Matt Hamill

Matt Hamill (alizaliwa Oktoba 5, 1976) ni mwanamieleka na mpiganaji wa zamani katika sanaa za karate kutoka Marekani ambaye alishindana katika kitengo cha uzito mdogo cha UFC.

Maisha ya awali

[hariri | hariri chanzo]

Hamill amekuwa kiziwi tangu alipozaliwa. Alianzishwa mieleka na baba yake wa kambo Michael Rich, ambaye alikuwa kocha mkuu wa mieleka katika shule ya upili ya Loveland. [1]

  1. "About Me « Matt "The Hammer" Hamill". Matthamill.com. Iliwekwa mnamo 2012-08-05.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Matt Hamill kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.