Majadiliano ya mtumiaji:Husseyn Issa
Makaja ya Steven J. Bwana
[hariri chanzo]Salamu, katika makala hiyo sehemu ya MAISHA YAKE uliweka maelezo ambayo yamenakiliwa moja kwa moja kutoka katika mtandao wa Elite Book Store, kinachotakiwa ni kutumia tovuti hiyo kwa ajili ya kuweka marejeo ya kile ulichokiandika na siyo kunakili yale yaliyopo ndani ya tovuti hiyo, maelezo uliweka yanapatikana hapa https://elitestore.co.tz/index.php/maisha-yanguutumishi-wangutawasifu-ya-steven-james-bwana , nimeondoa maelezo hayo, Amani sana Idd ninga (majadiliano) 17:29, 24 Januari 2023 (UTC)
- Naona umerudisha tena maelezo yaliyoandikwa katika katika tovuti ya ELITE STORE, haifai kucopy maelezo kama yalivyo na kuyaweka katika Wikipedia,hiyo ni sawa na kuchukua kazi ya mtu na kuileta humu, haifa, Amani sana Idd ninga (majadiliano) 17:30, 25 Januari 2023 (UTC)
Makala ya Steven J. Bwana
[hariri chanzo]Nmeona makosa niliyo yafanya na nimejifunza. Amani sana! Husseyn Issa (majadiliano) 15:16, 8 Machi 2023 (UTC)
Kutafsiri Majina
[hariri chanzo]Tazama katika makala hii ya Joseph Brackett umetafsiri jina la kundi, kama utakutana na makala yenye jina la kundi lolote au chama na chama au kundi hilo jina lake halipo katika Kiswahili, basi jina hilo usilitafsiri katika Kiswahili, Amani sana Idd ninga (majadiliano) 14:01, 11 Aprili 2023 (UTC)
- Sawasawa ndugu Iddi Ninga nimepitia na kurekebisha,tuzidi kuelimishana! Husseyn Issa (majadiliano) 11:08, 20 Mei 2023 (UTC)
Makala ya John M. Harbert
[hariri chanzo]Habari ndugu @Husseyn Issa Nakupongeza kwa juhudi zako katika kuboresha wikipedia yetu, Kuna changamoto kadhaa katika makali ya John M. Harbert uliyo iunda. Jamii: uliyoweka haisuini kabisa na makala husika na pia ref haina maelezo. Amani kwako. Justine Msechu (majadiliano) 12:21, 15 Aprili 2023 (UTC)
Ndugu ukikigusa kiungo cha marejeo kinakupeleka katika tovuti kuhusu makala husika na mhusika mwenyewe na kampuni iliyoanzishwa. Nimejaribu kufanya marekebisho ya jamii na kuweka jamii husika kama vile makala ilivyohitaji, Asante kwa ukumbusho.
Amani sana Husseyn Issa (majadiliano) 20:05, 15 Aprili 2023 (UTC)
Feminism and Folklore 2023 - Local prize winners
[hariri chanzo]Please help translate to your language
Congratulations on your remarkable achievement of winning a local prize in the Feminism and Folklore 2023 writing competition! We greatly appreciate your valuable contribution and the effort you put into documenting your local Folk culture and Women on Wikipedia. To ensure you receive your prize, please take a moment to complete the preferences form before the 1st of July 2023. You can access the form by clicking here. We kindly request you to submit the form before the deadline to avoid any potential disappointments.
If you have any questions or require further assistance, please do not hesitate to contact us via talkpage or Email. We are more than happy to help.
Best wishes,
--Tiven2240 (majadiliano) 13:32, 10 Juni 2023 (UTC)
Ahsanteni sana! Husseyn Issa (majadiliano) 18:19, 10 Juni 2023 (UTC)
Nimefuta Jamii ya Jamii:Wanawake Wa Ivory Cost na kuunda Jamii:Wanawake wa Ivory Coast
[hariri chanzo]Asante Husseyn Issa kwa kuunda jamii ya Jamii:Wanawake wa Ivory Cost, nimeifuta na kuboresha muundo wa kitahajia na sasa inasomeka [[Jamii:Wanawake wa Ivory Coast]]. Naomba kwa sasa tutumie hiyo mpya. Asante na Kazi IendeleeJadnapac (majadiliano) 23:42, 13 Aprili 2024 (UTC)
- Ahsante sana kwa msaada! Husseyn Issa (majadiliano) 04:52, 14 Aprili 2024 (UTC)