Maandamano
Mandhari
Maandamano (kutoka kitenzi "andaa" kilichonyambuliwa kwa viambishi -ma- na -na-; kwa Kiingereza procession, kutoka Kilatini processio, pia cortege) ni kundi la watu wanaotembea pamoja kwa utaratibu maalumu.
Yametumika nyakati zote na mahali pote kwa ajili ya ibada, siasa n.k. inavyoonekana k.mf. katika michoro mingi ya zamani, hasa ya mazishi na ya kushangilia ushindi vitani.
Siku hizi yanafanyika pia kwa kutoa hoja na kudai haki.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Serrarius, N. (1607) Sacri peripatetici, sive in Sacris Ecclesiae Catholicae processionibus libri duo. Cologne
- Gretser, Jakob (1608) De Catholicae Ecclesiae sacris processionibus & supplicantibus libri duo. Cologne: H. Mylius
- Dunlop, C. (1932) Processions. London: Alcuin Club
- Cairncross, Henry; Lamburn, E. C. R. & Whatton, G. A. C., comps. (1935) Ritual Notes: a comprehensive guide to the rites and ceremonies of the Book of Common Prayer of the English Church; 8th ed. London: W. Knott; pp. 104–09
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- An Outdoor Procession
- [http://web.archive.org/20160304022940/http://en.liturgy.ru/photo/x9.htm Archived 4 Machi 2016 at the Wayback Machine. Outdoor Procession on the Feast of the Dormition]
- Outdoor Procession at Ascension Convent on the Mount of Olives at Jerusalem
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Maandamano kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |