Kukufas
Mandhari
Kukufas (pia: Qaqophas[1] au Cugat; 269- 304) alikuwa shemasi (kutoka Scillium, leo nchini Tunisia) aliyekwenda kuinjilisha eneo la Barcelona akauawa kwa kukatwa shingo huko Sant Cugat del Valles (leo nchini Hispania) wakati wa dhuluma ya kaisari Diokletian wa Dola la Roma[2].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake na ya wenzake huadhimishwa tarehe 25 Julai[3].
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Monasteri ya Mt. Cugat
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ His name is said to be of Phoenician origin with the meaning of "he who jokes, he who likes to joke." Santi, beati e testimoni - Dizionario dei nomi
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/91568
- ↑ Martyrologium Romanum
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- (Kihispania) San Cucufate Ilihifadhiwa 6 Februari 2007 kwenye Wayback Machine.
- (Kihispania) ¿Existió San Cucufate?
- Catholic Online: Cucuphas
- End Panel of a Reliquary Casket with St Cucuphas
- PDF Ilihifadhiwa 4 Septemba 2009 kwenye Wayback Machine. (972 KB download)
- (Kifaransa) Le Bois de St Cucufa
- (Kihispania) San Cucufate Ilihifadhiwa 29 Septemba 2007 kwenye Wayback Machine.
- (Kiitalia) San Cucufate (Cugat)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |