Nenda kwa yaliyomo

Kointa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kointa (alifariki Aleksandria, 249 hivi) alikuwa mwanamke bikira wa Misri, ambaye alifia dini muda mfupi kabla ya dhuluma ya kaisari Decius.

Kwa kuwa alikataa kuabudu miungu aliyoichukia, alifungwa miguu na kuburuzwa kikatiki katika barabara wa mji huo.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 8 Februari[1][2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.