Kieven
Mandhari
Kieven ni lugha ya Kitungusi nchini Urusi inayozungumzwa na Waeven. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kieven imehesabiwa kuwa watu 5660. Waeven wengi wamebadilisha lugha kutumia Kirusi tu, yaani lugha yao ya asili imo hatarini kutoweka. Kuna lahaja nyingi za Kieven. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kieven iko katika kundi la Kitungusi ya Kusini.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kieven kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kieven Archived 22 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kieven katika Glottolog
- lugha ya Kieven kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kieven kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |