Jimbo Kuu la Milano
Mandhari
Jimbo Kuu la Milano (kwa Kilatini Archidioecesis Mediolanensis) ni mojawapo kati ya majimbo ya Kanisa Katoliki nchini Italia. Ndani ya Kanisa la Kilatini kwa sehemu kubwa linafuata mapokeo maalumu yaliyopata nguvu kwa Ambrosi (liturujia ya Milano).
Kikanisa lina majimbo ya Bergamo, Brescia, Como, Crema, Cremona, Lodi, Mantova, Pavia na Vigevano chini yake.
Askofu mkuu wake ni Mario Delpini.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Uongozi
[hariri | hariri chanzo]Takwimu
[hariri | hariri chanzo]Eneo ni la kilometa mraba 4,208, ambapo kati ya wakazi 5,558,412 (2019) Wakatoliki ni 5,078,297 (91.4%) katika parokia 1,108. Ni jimbo la tatu duniani kote kwa wingi wa waumini na ni la kwanza kwa idadi ya mapadri wanajimbo (1,779).
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Kuu la Milano kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |