Nenda kwa yaliyomo

Jean Bernadt

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jean Bernadt (née Alkin) (19 Mei, 1914 - 9 Aprili, 2011) alikuwa mwanaharakati wa kupinga ubaguzi wa rangi wa Afrika Kusini. [1]

Alikuwa mwanachama hai wa Chama cha Communist Party of South Africa (CPSA), Congress of Democrats, na taasisi ya Federation of South African Women. Mnamo 1940 aliolewa na Himan (Himie) Bernadt na akapata watoto watatu.

1934 - Shule ya Upili ya Cape Town

1936 - Chuo Kikuu cha New York - alisoma Fasihi ya Amerika

  1. "Archived copy". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-08-10. Iliwekwa mnamo 2017-08-10.{{cite web}}: CS1 maint: archived copy as title (link)
  2. "Jean Bernadt (nee Alkin) | South African History Online". www.sahistory.org.za. Iliwekwa mnamo 2020-06-15.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jean Bernadt kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.