Hifadhi ya Taifa ya Meru
Mandhari
Hifadhi ya Taifa ya Meru imekuwa yenye shughuli kabambe na yenye watalii chungu nzima waliofurika furifuri ili kujionea maajabu ya Mlima Kenya.
Huku kuna wanyama si haba ambao hutokea misitu iliyokaribia Mlima Kenya.
Huku watalii huzuru ili kuikwea milima na kuipata hewa safi.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Hifadhi ya Taifa ya Meru kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |