Hamish Bond
Mandhari
Hamish Byron Bond MNZM (alizaliwa 13 Februari 1986) ni mpiga makasia wa New Zealand na pia alikuwa muendesha baisikeli wa barabarani.
Ameshinda medali ya dhahabu mara tatu katika michezo ya olimpiki ya London 2012, michezo ya olimpiki ya Rio de Janeiro 2016, na katika michezo ya olimpiki ya Tokyo Olimpiki 2020.[1]
Maisha binafsi
[hariri | hariri chanzo]Alihitimu mwaka 2010 akichukua shahada ya biashara(mkubwa katika fedha) chuo cha Massey na alihitimu diploma katika upangaji wa fedha binafsi . Bond alioa mke wake mnamo aprili, 2015 na walipata mtoto wa kwanza mwaka 2018 na pia walikuwa na mtoto mwingine kabla ya kwenda Tokyo.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Hamish Bond Bio, Stats, and Results | Olympics at Sports-Reference.com". web.archive.org. 2020-04-17. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-04-17. Iliwekwa mnamo 2021-12-06.