Gregori wa Dekapoli
Mandhari
Gregori wa Dekapoli (Irenopoli, Isauria, leo nchini Uturuki, kabla ya 797 - Konstantinopoli, 842 au kabla yake) alikuwa mmonaki halafu mkaapweke ambaye alipata umaarufu kwa miujiza na mizunguko yake mingi. Baada ya kuishi muda mrefu Thesalonike, alipofunga urafiki na Yosefu Mtungatenzi, alirudi naye Konstantinopoli hadi kifo chake. Kwa pamoja walitetea kwa nguvu zote heshima kwa picha takatifu dhidi ya dhuluma ya kaisari Leo V [1].
Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi na Wakatoliki kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 20 Novemba[2][3][4].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/92529
- ↑ Martyrologium Romanum
- ↑ Great Synaxaristes: Ὁ Ὅσιος Γρηγόριος ὁ Δεκαπολίτης. 20 Νοεμβρίου. ΜΕΓΑΣ ΣΥΝΑΞΑΡΙΣΤΗΣ.
- ↑ Venerable Gregory Decapolite. OCA - Lives of the Saints. Retrieved: 17 September 2014.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Sahas, Daniel J. (2009). "Gregory Dekapolites". In Thomas, David; Roggema, Barbara. Christian-Muslim Relations: A Bibliographical History, Volume 1 (600-900). Leiden and Boston: BRILL. pp. 614–617.
.
- Winkelmann, Friedhelm; Lilie, Ralph-Johannes; na wenz. (2000). "Gregorios Dekapolites (#2486)". Prosopographie der mittelbyzantinischen Zeit: I. Abteilung (641–867), 2. Band: Georgios (#2183) – Leon (#4270) (kwa German). Walter de Gruyter. ku. 96–99. ISBN 3-11-016672-0.
{{cite book}}
: CS1 maint: unrecognized language (link) - Venerable Gregory Decapolite. OCA - Lives of the Saints. Retrieved: 17 September 2014.
- Great Synaxaristes: (Kigiriki) Ὁ Ὅσιος Γρηγόριος ὁ Δεκαπολίτης. 20 Νοεμβρίου. ΜΕΓΑΣ ΣΥΝΑΞΑΡΙΣΤΗΣ.
Marejeo mengine
[hariri | hariri chanzo]- Dvornik, Francis, mhr. (1926). La vie de saint Grégoire le Décapolite et les Slaves macédoniens au IXe siècle (kwa French). Paris: Champion.
{{cite book}}
: CS1 maint: unrecognized language (link) - Makris, Georgios; Chrontz, Michael, whr. (1997). Ignatios Diakonos und die Vita des heiligen Gregorios Dekapolites. Byzantinisches Archiv (kwa German). Juz. la 17. Stuttgart and Leipzig: Teubner. ISBN 9783815477403.
{{cite book}}
: CS1 maint: unrecognized language (link) - Sahas, D.J. (1986). "What an infidel saw that a faithful did not. Gregory Dekapolites (d. 842) and Islam". Greek Orthodox Theological Review. 31: 50–62.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |