Fremu (intaneti)
Mandhari
Katika vivinjari, fremu ni sehemu ya ukurasa wa mtandao ambayo inayaonyesha maudhui huru na kipeto chake (ukurasa). Kwa kawaida, fremu inaandika kwenye HTML.
Mfano wa fremu
[hariri | hariri chanzo]Kwenye lugha ya programu HTML, fremu ni :
<frameset cols="85%, 15%">
<frame src="http://www.mfano.com/frame_1.html" name="frame_1">
<frame src="http://alt.mfano.com/frame_2.html" name="frame_2">
<noframes>
Kinjari chako hakitumii fremu.
<a href="http://www.mfano.com/frame_1.html">Bonyeza hapa</a> ili kuona fremu 1.
<a href="http://alt.mfano.com/frame_2.html">Bonyeza hapa</a> ili kuona fremu 2.
</noframes>
</frameset>
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Petzell, M. (2005). Expanding the Swahili vocabulary. Africa & Asia, 5, 85-107.