Eneo la Uingereza katika Bahari Hindi
Mandhari
British Indian Ocean Territory | |
---|---|
Diego Garcia ni kisiwa kikuu cha Eneo la Uingereza katika Bahari Hindi | |
Utawala | Eneo la ng'ambo la Uingereza |
Mji Mkuu | Kisiwa cha Diego Garcia |
Lugha rasmi | Kiingereza |
Anwani ya kijiografia | Latitudo: 6°00'S Longitudo: 71°30'E |
Eneo | 60 km² |
Wakazi | wanajeshi 2,500; wakazi asilia 2,000 walihamishwa |
Msongamano wa watu | watu 58.3 kwa km² |
Simu & Pesa | +56 (nchi) |
Mahali | |
Eneo la Uingereza katika Bahari Hindi pamoja na Diego Garcia | |
Eneo la Uingereza katika Bahari Hindi |
Eneo la Uingereza katika Bahari Hindi (kwa Kiingereza: British Indian Ocean Territory) ni hasa funguvisiwa la Chagos likiwa pamoja na kisiwa cha Diego Garcia. Linapatikana kati ya Tanzania na Indonesia.
Mauritius inadai eneo lote ni lake, na mwaka 2017 mkutano mkuu wa Umoja wa Mataifa umeikubalia ifungue kesi katika Mahakama Kuu ya Kimataifa. Baada ya kushinda kesi hiyo, Ufalme wa Muungano ulifikia makubaliano na Mauritius (2024) ya kusaini mkataba utakaotambua visiwa kuwa vya Mauritius.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
British Indian Ocean Territory travel guide kutoka Wikisafiri
- Official website
- British Indian Ocean Territory on UK government site
- The Chagos Conservation Trust – A non-political charity whose aims are to promote conservation, scientific and historical research, and to advance education concerning the archipelago.
- Diego Garcia Online: Information for the Diego Garcia, BIOT population Ilihifadhiwa 14 Julai 2019 kwenye Wayback Machine.
- UK Foreign Office- profile
- British Indian Ocean Territory entry at The World Factbook
- Diego Garcia Ilihifadhiwa 30 Desemba 2010 kwenye Wayback Machine., timeline posted at the History Commons.
- Christian Nauvel, "A Return from Exile in Sight? The Chagossians and their Struggle" (2006) 5 Northwestern Journal of International Human Rights 96–126 Ilihifadhiwa 2 Machi 2011 kwenye Wayback Machine. (retrieved 9 May 2011).
- EU Relations with British Indian Ocean Territory
- Chagos Islands (B.I.O.T.) at Britlink – British Islands & Territories
- http://www.letusreturnusa.org/ Ilihifadhiwa 21 Novemba 2018 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|