DopeNation
Mandhari
DopeNation, ni kundi la muunganiko wa wanamuziki wawili wa nchini Ghana, mapacha wanaofanana, ambao ni Micheal Boafo, maarufu kama B2, [1] [2] na Tony Boafo, anayejulikana kama Twist . [3] [4] Wanafahamika zaidi kwa kutengeneza nyimbo maarufu kama Kpuu Kpaa, Wow, Sebgefia pamoja, Poison pamoja na Nana.
Maisha ya Awali
[hariri | hariri chanzo]Mapacha hao walizaliwa huko Accra na walikulia Abeka. Baadae walihamia Takoradi ambapo walipata elimu ya msingi na sekondari, katika kipindi hiki mapacha walikuza hamu yao ya muziki. Baadae walirejea Accra kuendeleza elimu yao ya juu katika Chuo Kikuu cha Ghana na Chuo Kikuu cha Teknolojia cha Ghana . [5] [6] [7]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "B2 - Ghanamotion.com". Ghanamotion.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-02-27. Iliwekwa mnamo 2018-02-26.
- ↑ "7 Ghanaian Music Producers Who Were Behind The Hit Songs In 2017".
- ↑ "T Beats".
- ↑ "7 Ghanaian Music Producers Who Were Behind Hit Songs In 2017". fnnewsonline.com. 2017-10-18. Iliwekwa mnamo 2018-02-26.
- ↑ "'We mow beat production out of frustration' - DopeNation". BBC News Pidgin. 2019-07-11. Iliwekwa mnamo 2021-03-06.
- ↑ "Dope Nation". Beatz Nation. 2017-10-10. Iliwekwa mnamo 2018-02-27.
- ↑ Glennsamm (26 Februari 2018). "Get Familiar with DopeNation". eboxafrica.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 28 Februari 2018. Iliwekwa mnamo 2018-02-27.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu DopeNation kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |