Nenda kwa yaliyomo

Deusdedit wa Montecassino

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchoro wa ukutani wa Mt. Deusdedit na Mt. Yohane Mbatizaji.

Deusdedit wa Montecassino, O.S.B. (pia: Diodato, Deodato na Adeodato; Liri, karne ya 8 - Benevento, 9 Oktoba 834) alikuwa kwa miaka 6 abati wa 15 wa monasteri ya Montecassino, nchini Italia aliyejitahidi kutetea haki za wamonaki wa Kibenedikto dhidi ya watawala wa jirani, na kwa ajili hiyo alitupwa na Sikardo gerezani, alipofariki kwa njaa na tabu [1][2].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila tarehe 9 Oktoba[3].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.