Nenda kwa yaliyomo

Chirine Lamti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Chirine Lamti (alizaliwa 13 Septemba 1994) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Tunisia. Anacheza kama kiungo wa Klabu ya Cesena fc pamoja na timu ya taifa ya wanawake ya Tunisia. Chirine alizaliwa nchini Denmaki.[1]

  1. "Do Slavie přichází záložnice Chirine Lamti" [Midfielder Chirine Lamti nchini slavia] (kwa Kicheki). Slavia Prague. 23 Julai 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chirine Lamti kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.